Kijana aliyemuua askari, naye auawa

Kijana aliyemuua askari, naye auawa

wakuu ni sahihi askari kuuliwa?

na je ni sahihi kwa askari kutaka kumrukia mtuhumiwa wakati alikuwa na uwezo wa kutumia lugha za kidiplomasia kumsihi asiuwe mtoto?

Lugha za diplomasia kwa muuaji?
 
Mimi langu ni kuwa kamanda Ernest Mangu ajipime maana amepoteza askari wengi katika mazingira tata yanayoonesha udhaifu wa jeshi
 
Nimeangalia picha ya huyu Kijana wkenye jeneza [ITV] ,he was too youg to die,amEniuma sana na hadi nimetoa machozi,kazaliwa 1988,gone too soon. Japo imeniuma sana nimeanza kutafakari matukio yanayolikumba jeshi la polisi yakiwemo kuvamiwa vituo ,kujiua nk na kujiuliza yafuatayo:

1.Nini kazi ya walinzi wa kituo ,au wanakuwa wapi hadi vituo vinavamiwa?
2.Zamani tulizoea kuona polisi warefu,wenye vifua na wenye nguvu,hivi awa askari wa siku hizi wana ajiliwa kwa vigezo gani,sasa hivi utakutana na vi-askari vidogo,vifupi ambavyo hata kuwambia mtu kama mimi niliyepanda kuwa huko chini ya ulinzi vinaogopa,sasa hata kama ni haki za binadamu za kutakiwa kuajili bila ubaguzi hivyo kupokea vi -askari vidogovidogo mbona kwenye Ma-TV hao waliotuletea hizo haki za Binadamu [Wazungu] huwezi kuona vi-askari vya Kizungudesign hiyo? askari wa Kizungu tunaowaona kwenye TV wote wameshiba na wamepanda,nadhani kwa ranks fulani it is ok kuajili vi-askari vidogovidogo lakini kwenye rank za mituringa tuwe tuna angalia na maumbile ya askari tunao recruit otherwise hii trend ya vibaka kuwaona askari watu wa kawaida sana itaendelea.
3.Huyu Marehemu wakati kapigiwa simu ya kuitwa kwenye tukio kwanini hakuwa accompanied na askari mwenzake,kwanini aende peke yake?hii trend ya askari kwenda mmoja mmoja kwenye tukio inaweza pia kuchangia kwa askari kushambuliwa kwa urahisi,hao aliokuwa nao ni raia wasingewza kumsaidia lolote,sana sana walitimua mbio walipoona kimenuka.
4.Yule askari aliyejipiga risasi Singida,nimejiuliza sana kwanza Utaratibu wa kutoa silaha,kama huyo askari hakuwa kwenye doria na hakukuwa na maagizo yoyote ya OCD iweje aend tu bila reference yoyote na kukabidhiwa bunduki?hapa nadhani kuna uzembe ulifanyika.Pili kwa miaka mingi sasa sijawahi kuona polisi wakiwa doria au Kazini na bunduki za SAR [semi automatic rifle,hizo navyofahamu ni silaha za mgambo au polisi jamii au ni silaha za parade,iweje askari huyo akabidhiwe bunduki ya aina hiyo kwenda nayo safari na OCD? nadhani hapa pia kuna tatizo
5.Hivi vituo vnavyovamiwa kila siku walinzi wa vituo wanakuwa wapi? pia huko nyuma watu kupitia JF walitahadhalisha juu ya mazoezi makali ya karate nk yanayofanyika kwenye baadhi ya nyumba za ibada na walizitaja baadhi nyumba hizo,je police mlichukua hatua gani kufuatilia hao vijana wanaopewa mafunzo makali kupitia mgongo wa dini fulani fulani?
4.
 
Nimeangalia picha ya huyu Kijana kwenye jeneza [ITV] ,he was too youg to die,ameniuma sana na hadi nimetoa machozi,kazaliwa 1988,gone too soon. Japo imeniuma sana nimeanza kutafakari matukio yanayolikumba jeshi la polisi hivi karibuni yakiwemo kuvamiwa vituo ,kujiua nk na kujiuliza yafuatayo:

1.Nini kazi ya walinzi wa kituo ,au wanakuwa wapi hadi vituo vinavamiwa?
2.Zamani tulizoea kuona polisi warefu,wenye vifua na wenye nguvu,hivi awa askari wa siku hizi wana ajiliwa kwa vigezo gani,sasa hivi utakutana na vi-askari vidogo,vifupi ambavyo hata kuwambia mtu kama mimi niliyepanda kuwa huko chini ya ulinzi vinaogopa,sasa hata kama ni haki za binadamu za kutakiwa kuajili bila ubaguzi hivyo kupokea vi -askari vidogovidogo mbona kwenye Ma-TV hao waliotuletea hizo haki za Binadamu [Wazungu] huwezi kuona vi-askari vya Kizungudesign hiyo? askari wa Kizungu tunaowaona kwenye TV wote wameshiba na wamepanda,nadhani kwa ranks fulani it is ok kuajili vi-askari vidogovidogo lakini kwenye rank za mituringa tuwe tuna angalia na maumbile ya askari tunao recruit otherwise hii trend ya vibaka kuwaona askari watu wa kawaida sana itaendelea.
3.Huyu Marehemu wakati kapigiwa simu ya kuitwa kwenye tukio kwanini hakuwa accompanied na askari mwenzake,kwanini aende peke yake?hii trend ya askari kwenda mmoja mmoja kwenye tukio inaweza pia kuchangia kwa askari kushambuliwa kwa urahisi,hao aliokuwa nao ni raia wasingewza kumsaidia lolote,sana sana walitimua mbio walipoona kimenuka.
4.Yule askari aliyejipiga risasi Singida,nimejiuliza sana kwanza Utaratibu wa kutoa silaha,kama huyo askari hakuwa kwenye doria na hakukuwa na maagizo yoyote ya OCD iweje aend tu bila reference yoyote na kukabidhiwa bunduki?hapa nadhani kuna uzembe ulifanyika.Pili kwa miaka mingi sasa sijawahi kuona polisi wakiwa doria au Kazini na bunduki za SAR [semi automatic rifle,hizo navyofahamu ni silaha za mgambo au polisi jamii au ni silaha za parade,iweje askari huyo akabidhiwe bunduki ya aina hiyo kwenda nayo safari na OCD? nadhani hapa pia kuna tatizo
5.Hivi vituo vnavyovamiwa kila siku walinzi wa vituo wanakuwa wapi? pia huko nyuma watu kupitia JF walitahadhalisha juu ya mazoezi makali ya karate nk yanayofanyika kwenye baadhi ya nyumba za ibada na walizitaja baadhi nyumba hizo,je police mlichukua hatua gani kufuatilia hao vijana wanaopewa mafunzo makali kupitia mgongo wa dini fulani fulani?
4.
 
Kijana Tissi aliyemuua askari Joseph Isack, nae auawa jana!

Nilichokiona; Wananchi wamefurahishwa sana na kifo cha huyu askari. Jiulize amekufa katika mazingira gani; ya kuokoa au kuangamiza? Na asingefika tungesemaje?

Watanzania tuamke, tusipandikizwe chuki na siasa. Askari tupo nao na tunakaa nao kitaa!

mbona aliyemuua askari nasikia ni babu sio kijana, mnatuchanganya
 
Mtuhumiwa
Hapo Mushi92sasa upo sahihi ni kweli kauawa
ninachokuomba ungei-Edit post ya #1 ili kuondoa mabishano
kwa habari za uhakika alipigwa risasi kichwani (km2)
wanavyosema alikuwa jela /Mirembe kwa matatizo ya akili na alipotoka kamkuta mkewe ana mtoto
wanavyosema kwa vile alikuwa na fail Mirembe Kesi ya mauaji kwake ingechukua muda hivyo amewahishwa na kitu chenye ncha kali

attachment.php
Moderator ni kweli picha ya mtuhumiwa ingekaa Post # 1 ya Mushi92 ingependeza kuwajuza Member
 
Last edited by a moderator:
Du ya kichwa hii. Kwa nini wasinge mpiga mkono au mguu ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria?.

Kwenye mikono IPI ya sheria tena ilutakiwa akatwekatwa na achomwe mishikaka kabisa huyo nguruwe.
 
Mimi langu ni kuwa kamanda Ernest Mangu ajipime maana amepoteza askari wengi katika mazingira tata yanayoonesha udhaifu wa jeshi

wakati wa mahita waliletwa wakorea kuwafundisha askari judo. ipo haja ya kuanzisha kozi fupi za askari. wapo pia tangu atoke depo hajawahi kusikia mlio wa risasi.
 
Mleta mada ni jinga jinga, analeta habari isiyojitosheleza,bila kusema kauawa wapi,na nani? ilikuwa saa ngapi? na ktk mazingira gani? nyambaf zako sana mleta mada.
You are no longer wiseboy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom