OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Lukansola
Jamani hajui mbona hata ya askari kuuawa ilianza na line tatu tu na sasa ina pages kibao, online media ni mimi wewe na yule sio jukumu lake kuacha kutafuta ugali aandike makala hiyo ni style ya magazeti na vijarida mkuu, online ni watu kuchangia piece by piece mpaka detail inakamilika !

Last edited by a moderator: