AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Hahaha mkuu acha kunichekesha saizi, na wewe ndio wale wale!. I hope maana yake nini??.
Lol
Kwi kwi kwi
Hahaha mkuu acha kunichekesha saizi, na wewe ndio wale wale!. I hope maana yake nini??.
Wewe huyo. andika sentensi ya Kingereza.
kama englishi ndio lugha ya taifa la mlimani city...inabidi wakina sie tuishie nje na tuagizie wakalimani wakatununulie bidhaa huko ndani....
Mkuu kabla sijaandika hakikisha una dictionary pembeni.
Tayari.
Jamani kwa nini kila mtu akikanyaga tu lango la kuingilia Mlimani City anaanza kuongea kiingereza? Utasikia cha kuungaunga mara IS na WAS kibao. Kwani mkiongea Kiswahili chenu mtakuwaje? Acheni uzuzu, ubitozi na usister duu!

mm nafikiri ni kwasababu ya inferiority complex na low self-esteem kwa baadhi ya watu hapa bongo ndio maana wanafanya hivyo
Halafu kuna kajitabia siku hizi cha st kayumba kujidai wanajua sana luzungu kuna jamaa huwa ananikera huyo asikukute umekaa na watu lazima abadili lugha mbaya zaidi anavunja mwanzo mwisho full kutiana aibu, mtu umesoma shule za kata mpk vyuo vya kata bado unataka kujionesha nawe unajua eboo
Sasa mimi maimuna nitaishia getini tu