Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,100
- 136,731
Sisi wengine huwa tunapita hapo kupigwa kiyoyozi kabla ya kuendelea na safari ya kurejea makwetu...
Heheheee hiyo nayo inahusika maana hili joto na huu mbanano wa huku Uswazi kiyoyozi kinapatikana kwa bure Mlimani City tu.