GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Mmmh...! Lugha zingine hazimfanyi mtu "aonekane" msomi, wa kileo na mstaarabu??
Msomi! Mbona hapa hawa wazungu wako tele wanatafuta kazi za box haliyakuwa wanajua kuongea lugha yao kiengereza? Wengine homeless kabisa, omba omba!
Ni lugha ya communication tu lakini haifanyi mtu kuwa daraja la juu,.