Free 4 Life
Member
- Mar 1, 2011
- 19
- 3
wanajamii niko ndani ya kigoma ila mpweke sana hebu ajitokeze binti mmoja wa kunipa company ani pm tafadhali walah ataenjoy
haswaaaa!Kampani gani unahitaji?
kuzungurushwa mjini
Kupikiwa migebuka
au unamaanisha (.....................):eek2:
Naogopa ku-comment, nisije nikala Ban bure.
na kweli wachangamke maana inbox ishaanza kuchangamka.!haya wa kasulu na vitongoji vyake, maombi yamejibu! fanyeni fasta kabla nafasi hazijajaa, lol!
vp kwani huku hakuna totoz?
wanajamii niko ndani ya kigoma ila mpweke sana hebu ajitokeze binti mmoja wa kunipa company ani pm tafadhali walah ataenjoy
vijana mnapenda kampani eeeeh?
Na kina mama je?
mi nipo Kasulu kesho nitakuwa Ibanda...tuonane wapi na saa ngapi....?