kigoma upweke- ladies only

kigoma upweke- ladies only

Jamani wanajamii nawashukuru sana nimepata mrembo mmoja maridadi kabisa humuhumu jana jioni kwa kweli ananipa raha sana....! na ndio tunajiandaa kwenda msikitini tukitoka kasema twende ujiji. Yaani mi nakubali tu kilakitu daah!
 
Back
Top Bottom