Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,587
- 1,937
Yuko saahihi, uhai ni muhimu. Mlitaka aje halafu wafiraji wa mama yenu wamteke?
..na Bashiru, wakashikwa masikio na vitoto vidogo vimekalilishwa itikadi za kijinga kabisa na wao wakazuzuka..viko wapi sasa, si ubwege huo!Bwege tu yule. Yeye na Magufuli ndiyo walikuwa waasisi wa uvurugaji demokrasia na utawala bora
Huyo ana wajomba zake hana shida. Na michongo mingi tu kawapa. She is set for life na vizazi vyake vyote. Mpaka vilembwe vya anko Abduli havitakuwa na shida wala haja ya kufanya kazi!Iko siku hata hangaya ataomba hifadhi
Unataka povu Bure na kuwa na wasiwasi na kisichokuwepo; hivi polepole atafutwe na nani?!!!!! Ana impact gani Hadi atafutwe?!!! Mama hamfikirii tu huyo kibwengo kama anakimbia basi acha tu akimbiekimbie kifala wamlawiti wahamiaji waliopinda ulaya huko.Mtaendelea kukaa na ujinga wenu hadi lini ndugu zangu ccm?
Watanzania tuko nyuma mita zaidi ya mamilioni kufikia Democracy ya kweli
Kujiuzulu kwa kiongozi yeyote katika nchi hasa ya Tanzania, bila shaka ni kitu kigeni sana na hutazamwa kama kitendo cha uhaini na uhujumu uchumi,
Kwa nchi za wenzetu huko, kitendo hiko hutazamwa kama ni sehemu ya serikali kujichunguza na kufanya tathimini namna ya kuendesha nchi kwa kuyachukua hayo maoni ya mhusika na kuyafanyia kazi!
CCM endeleeni kuwinda watu, siku mtajikuta mshakuwa ndo shetani mwenyewe
Mjinga wewe; kule na familia yake watakula good life. MileleShida kigogo ni mtu mjinga hajui nini anataka
Poleni sana nyumbu, endeleeni kuzusha Kila mliwezalo kutunga. Mama yupo pale anaendelea kupiga kazi.......na mtamkuta baada ya mamia ya vikao vyenuHuyo ana wajomba zake hana shida. Na michongo mingi tu kawapa. She is set for life na vizazi vyake vyote. Mpaka vilembwe vya anko Abduli havitakuwa na shida wala haja ya kufanya kazi!
Chawa bingwa wa matusi. Mbona leo hujaporomosha matusi ya nguoni kama ilivyo kawaida yako?Poleni sana nyumbu, endeleeni kuzusha Kila mliwezalo kutunga. Mama yupo pale anaendelea kupiga kazi.......na mtamkuta baada ya mamia ya vikao vyenu
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?.
Mkuu, changia tu vema, hakuna povu hapo ni ukweli tupuUnataka povu Bure na kuwa na wasiwasi na kisichokuwepo; hivi polepole atafutwe na nani?!!!!! Ana impact gani Hadi atafutwe?!!! Mama hamfikirii tu huyo kibwengo kama anakimbia basi acha tu akimbiekimbie kifala wamlawiti wahamiaji waliopinda ulaya huko.
Huyo mbona alifahamika kitambo tu kuwa hampendi mama na alikuwa mmojawapo katika waliopanga kumdhurumu mama nafasi yake ya uraisi wakashindwa. Akaanzisha uharo wake flani aliouita shule ya uongozi lengo kuu likiwa ni kumponda mama. Huko nako alichemka kwani haikuwa inafanya vizuri. Mama asiye na kinyongo na mtu akamuokota na kumpa huo ubalozi........kwa kifupi ni mwepesi sana, Hana chochote.
Cuba si Ulaya.Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
..aliyeshiba ugali maharage kupita kiwango cha shibe ndio anaweza kusema hivi.Huyo ana wajomba zake hana shida. Na michongo mingi tu kawapa. She is set for life na vizazi vyake vyote. Mpaka vilembwe vya anko Abduli havitakuwa na shida wala haja ya kufanya kazi!
Unaongea usichokijua nyumbu. Nakusamehe tu.Chawa bingwa wa matusi. Mbona leo hujaporomosha matusi ya nguoni kama ilivyo kawaida yako?
Kwa sasa jifanyeni kama vile mna hatimiliki na raslimali za nchi hii lakini wakati ukifika mnaweza kuishia kuikimbia nchi hii na kwenda kufia ughaibuni kwa aibu. Historia ina mifano mingi.
Kwa sasa ni wakati wenu. Ueni. Ibeni. Tekeni. Teseni. Tukaneni. Lakini yote ni ubatili na malipo ni hapa hapa duniani!
Wewe Dada kilaza kweli Cuba haipo ulayaAmeacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Cuba ni kisiwa.Cuba ni bara la America.