Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Kipo bahari ya Carribean.
Sawa lakini Carribean islands au Carribean Sea siyo bara ( continent) linalojitegemea na kuitwa hivyo, Cuba ukizingatia mabara inatambuliwa ipo bara la North America.
Hivyo yule mdau alikosea kusema Ulaya.
Soma post original ya mdau niliyo mrekebisha. Sielewi tunabishania nini hadi sasa. Unamaanisha nimekosea au huyo mdau alikuwa sahihi?
 
Mdau kazingua ila Cuba ni kisiwa katika Carribean Sea.
 
Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.

Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!

Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.

Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.

Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!

Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.

Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Aliyekwambia kitendo cha kuomba hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa ni kibaya kwa Taifa la Tanzania nani? Je, yeye ni wa kwanza kufanya hivyo Tanzania? Kama sio wa kwanza waliotangulia walipofanya, Tanzania ilipata tatizo gani?
 
Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.

Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!

Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.

Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.

Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!

Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.

Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Huyu mtoto kuna jambo zito na la hatari atakuwa ameboronga huko aidha dhidi ya TZ au namna nyignie.Kumbukeni alikuwa Cuba,hasimu wa Marekani wa kudumu.Kujiuzulu siyo uhaini,kwanza ni heshima kama huna kashfa.Sasa unakimbia kabisa na kwenda kuomba hifadhi nje ya nchi.hata nyumbani hujafika!!! .Kwa dharura ipi ? Kutakuwa na jambo ,tena siyo dogo.
 
Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.

Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa ubunge na nafasi yake kupewa mtu mwingine!.Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kukaa kimya na kupuuza mambo hatukuona lile ni tatizo lakini sasa ndiyo jipu limepasuka tunaparanganga kutafuta matambara ya kufuta usaha unaosambaa kwa kasi sana.!

Balozi Polepole amestafu na ameandika barua nzito na kali sana na imetoa shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi!. Kitendo cha Balozi Polepole kusema nchi imekosa uongozi ni shutuma nzito sana na hazipaswi kuachwa zipite kimya kimya! Lazima tukiri kuwa kuna tatizo mahali na lazima litazamwe kwa makini sana kama tunaipenda hii nchi.

Kilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.

Kitendo hiki ni kizito na kigumu na kibaya sana kwa taifa na uongozi wa taifa.! Balozi Polepole kaomba ukimbizi Sweden maana yake anahofia usalama wake baada ya kusema aliyoyasema!

Tunapaswa kujitafakari kama taifa!.. Hatuko kwenye njia sahihi na kwa kweli giza ni nene sana huko tuendako.

Pia soma > Humprey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama
Ndio maana mi nimemdharau, barua ameandika yeye, sasa anajificha nini.
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Cuba siyo Ulaya, ni America ya kati ile nchi ya kijamaa rafiki wa China, Urus na nchi za kijamaa za Kiafrika.

Hivi Cuba walisharuhusu vya vingi?
 
Unataka povu Bure na kuwa na wasiwasi na kisichokuwepo; hivi polepole atafutwe na nani?!!!!! Ana impact gani Hadi atafutwe?!!! Mama hamfikirii tu huyo kibwengo kama anakimbia basi acha tu akimbiekimbie kifala wamlawiti wahamiaji waliopinda ulaya huko.

Huyo mbona alifahamika kitambo tu kuwa hampendi mama na alikuwa mmojawapo katika waliopanga kumdhurumu mama nafasi yake ya uraisi wakashindwa. Akaanzisha uharo wake flani aliouita shule ya uongozi lengo kuu likiwa ni kumponda mama. Huko nako alichemka kwani haikuwa inafanya vizuri. Mama asiye na kinyongo na mtu akamuokota na kumpa huo ubalozi........kwa kifupi ni mwepesi sana, Hana chochote.
Kama mmempoteza Mdude na wengine wengi tena Walio nje ya chama cha cha mapinduzi, Pole pole yeye mtamnyakuliea kama kifaranga kisicho cha mama
 
Back
Top Bottom