Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

HAyo mambo
ya nafsi ni mambo ya kufikirika tuu ila kiufupi ukifa umekufa na historia yako imeishia hapo yaani nisawa na unavoona panya au mbwa kafa au kiongozi yoyote wa ccm ndio basi tena
 
HAyo mambo
ya nafsi ni mambo ya kufikirika tuu ila kiufupi ukifa umekufa na historia yako imeishia hapo yaani nisawa na unavoona panya au mbwa kafa au kiongozi yoyote wa ccm ndio basi tena
Mzaha huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kama unailewa vizuri dhana ya energy. Basi utahundua hata wewe unayejiita mtu haupo.
 
That's good question homie
 
Kifo na maisha vyote ni Utapeli ,hakuna uhalisia..Maisha ambayo mtu unaweza kuwa chochote muda wowote ,maisha ambayo hatuwezi kurudi nyuma basi hayana uhalisia kama ndoto...
Kinachotokea hapo ni vibration

Na huo ndo umuhimu wenyewe
 
Nilikuwepo na nilikuwa nawasoma tu nijifunze mnachozungumzia, i have 0 input on this.

(sijui kitu oote kwenye hii taarifa ya habari)
Mwongoo wewe,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaha, au ndo mnatuachia wanaume kazi ya kufikiri
 
Hata sijaelewa, kwanini usingetumia lugja moja ueleweke kuliko haya makande?
 
Watu wenye mawazo kama wewe walikuwepo humu zamani cjui sasa hivi wako wap hivi Scars yupo kweli
 
Unauliza wanyama wana consciousness , jibu unalo wewe ni mnyama πŸ’―πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…