Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Nashangaa sana hizi story za kuwasumulia watoto wetu wakati wa kulala ndio zinaletwa humu
 
Njopino naona unatembeza like tu humu.. 🙁🙁 🙁 🙁
Kwenye haya mambo kuna mstari mwembamba sana kati ya fact na conspiracy theories, niliwai pitia issue za cloning kwa case study ya Eminem, lakini huwezi kukubali kwa asilimia 100 kuwa ni cloning kwa kuangalia behavioural change na shape ya sura tu, kwa kuwa binadamu ni zaidi ya hayo. Kuna cloning,mind control na systematic scientific propaganda hivyo taarifa zote hizi zinahitaji uchambuzi makini ufikie kwenye fact vinginevyo tunaweza kuishia kuzama kwenye conspiracy theories ambazo watu wametengeneza kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
All in all whites wana project nyingi za kisayansi ambazo zipo kwenye utendaji, hivyo mambo haya sio ya kuyabeza hata kidogo.
Nilikuwa naangalia mitazamo ya wadau mbali mbali.
 
Cloning imefanikiwa kwa asilimia [emoji817] kwa mbuzi na panya ila kwa binadamu bado hawajafanikiwa k
Dooh!!! Duniani kuna mengi sana tena mazito hili la Eminem mi mwenyewe nilisikia but sikulitilia maanani lakini sasa najua kweli haya mambo inawezekana yapo .
Vipi kuhusu Bob Marley?
Kweli kaɓisa watakuwa bado kwenye majariɓio lakini sio kumaanisha clone 100 percent hata hiyo 80 percent hawajafanikisha mfano guccimane wa sasa ƴule aliyetoka kifungoni na wa kaɓla ƴa kifungo...ricƙ ross huƴu wa sasa na na ƴule aliƴeripotiwa kulazwa na dave chapelle ..ukiwaangalia hata kwa picha sawa sawa umchukue mbappe na dida wa brazil useme ni mtu mmoja japo kuna kamfanano ka kulazimisha!
Cloning kwa (mammals) kama mbuzi, panya mbwa nk imefanikiwa kwa asilimia [emoji817] ila kwa (premates) bado ni issue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo sometimes huwa naamini ni kweli wakati mwingine naona si kweli maana nimewahi kuona documentary inadai hata mke wa Obama siyo mwanamke ni mwanaume aliyebadilishwa wanaenda mbali zaidi na kudai hata wale watoto siyo wao wa kuwazaa ni wa kuwaadopt kutoka Morocco
Balaa zito
 
Ngoja nile ugali kitimoto,tumbo liwe ndiiiiiii
Ntarudi kusoma
 
Back
Top Bottom