Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,232
Malcom Lumumba, ]FSB=?
Hapo Eminem ni yupi?
Pia na Gucci maneukisoma vitu kama hivi alafu uko high unaweza kuchizika kwa muda kidogo, kuanzia kwa huyo MJ, eminem, Pac na Marley
Mkuu aliens mi nakubaliana nayo nimetazama documentary na kusoma articles nying sana kuhusu hivyo viumbe ...ngoja nitafute link ya documentary moja fupi tu ina nondo utaelewa..mmangO, Hayo ya kuclone watu kwa mbaali kidogo naweza kuvutika kukubali lakini haya mambo ya aliens ndo huwa hata siwaelewi mimi
Angalia muvi ya will Smith inaitwa Gemini Man imetoka mwaka huu.. utaelewa hii mada
Kipindi kile kwenye shades of sin..Angalia muvi ya will Smith inaitwa Gemini Man imetoka mwaka huu.. utaelewa hii mada
Kuna mtu nchi hii naamini kabisa wazungu wamemclone!
aisee kama nimeachwa iviHicho unachojua wewe ndio kilichotakiwa wewe ukifahamu..
Hivi wafahamu kua viliandikwa vitabu 4 vya wakorinto ila viwili tu ndo vipo?
Unajua kama wamisri walipovuka bahari jekundu maji yalikua yamekupwa?
Unajua ni kwanini Jina la Yehoshua lilibadilishwa kua Jesus?
Unajua kile kilichopangwa ww ujue..
ongeza volume kidogoUnajua mm nilikua nakataa kua radi si mnyama kisa physics nayosoma shule. Ila siku moja nilisibitisha kua radi ni mnyama hata nyama yake ukiitaka inapatikana.