Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

Mkuu yawezekana hicho wewe unachokifaham ndicho kilichopangwa wewe binaadam wa kawaida ukifahamu. Yawezakua yapo meeeeengi ambayo yamewekwe usiyafahamu kuhusu suala hili la clone kama tunavyofahamu yale tu yaliyoko kwenye silabasi. Watu wamekaa wakapanga ujue A mpaka D tu
kwa hili acha nikae na mchina mie🙂.
 
lazima uamini kila kitu but Yale tunayoona ni uongo Actually ndio hua ni ukweli wenyewe na ule ukweli ndio uongo. Tunafaham yale tu yaliyopangwa tuyafaham, mengi hatuyafahamu mpaka pale tu mtu atakapo jaribu kufikiri atoke nje ya boksi. Na hapo ndio huja lile fumbo alilotengeneza plato(?) kuhusu wafunwa ndani ya pango waliofungwa minyororo.
The things people refuse are the things they should choose: Bob Marley
 
Ni sawa na BEYONCE akawa SASHA FERCE....ndio maana wakiingia huko wanafanya makufuru sana mpka mnaowajua mnashangaa "hivi huyu ndie"......sababu in mind anakuwa possesed na demon anakuwa sio yeye but mwili ni yeye.....ndo maana wanakuwa hawana aibu kabisa...angalia wanamuziki wote wakubwa mnaowapenda na kuwaita idols wenu.
mkuu umegusa nnachowaza.
 
Hahaa
😀😀😀
Palantir
Mm naomba tujadili kile kilichokua kinaonyeshwa kwenye muvi za Men in Black..
Unaizungumziaje..?
ile secret human-alien socialization au unaongelea nini!?..
Unahisi kuna kifaa cha kusahaulisha kumbukumbu za watu bila kuwafanyia psychotherapy?.
 
hapa mnajichanganya sana.. Michael Jackson tangu anazaliwa anakua anaingia kwenye muziki anapata mafanikio kwenye muziki kila mmoja ameona na record zote kumhusu MJ ziko wazi kabisa hakutoka from nowhere.. Huu ni uongo wa mchana mchana
 
Nikibofya hio video bando linakata. Inaitwajee na inahudu nini..?
The island... Inahusu hii mambo ya kutengeneza mtu anayefanana na mtu mwingine ambaye aidha alishawahi ishi ama bado anaishi na wanaendana kitabia na matendo... Wanahamisha kumbukumbu, hivyo kumfanya mtu aliyetengenezwa kuwa na kumbukumbu sawa za matukio ya kimaisha na original wake
 
Back
Top Bottom