Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
Mie msomi ambaye siyo Mchaga!Gembe na YEBO YEBO...Habari ambazo zimeshatolewa kama mngekuwa mnashughulisha MBONGO ZENU...Especially GEMBE kama unavyojiita MSOMI....Basi Msingeongea MANENO mbofu mbofu.
Issue iko wazi kuwa kifo si cha kawaida...Ila tumeshajuwa kuwa nyie mnataka siasa na wewe pia labda ulipata waraka uliosambazwa ambao unaonekana kuwa ni hoja ya vurugu za chama huku ukweli ukiwa ni hoja ya madini.
Kifo siyo cha kawaida?mbona unajipa uwezo wa kimungu?hivi nani anapanga maisha ya binadamu?unajua tunasahau vitu vingina wkati mwingine tunamsahau Mungu kwa masilahi ya Chama tu.
Do you believe everything is happen for a purpose?even CHADEMA kumsimamisha Wangwe it happen for a purpose..