Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Gembe na YEBO YEBO...Habari ambazo zimeshatolewa kama mngekuwa mnashughulisha MBONGO ZENU...Especially GEMBE kama unavyojiita MSOMI....Basi Msingeongea MANENO mbofu mbofu.

Issue iko wazi kuwa kifo si cha kawaida...Ila tumeshajuwa kuwa nyie mnataka siasa na wewe pia labda ulipata waraka uliosambazwa ambao unaonekana kuwa ni hoja ya vurugu za chama huku ukweli ukiwa ni hoja ya madini.
Mie msomi ambaye siyo Mchaga!

Kifo siyo cha kawaida?mbona unajipa uwezo wa kimungu?hivi nani anapanga maisha ya binadamu?unajua tunasahau vitu vingina wkati mwingine tunamsahau Mungu kwa masilahi ya Chama tu.

Do you believe everything is happen for a purpose?even CHADEMA kumsimamisha Wangwe it happen for a purpose..
 
WARAKA WA MADINI INAWEZEKANA ULIFICHWA NA MAFISADI...Halafu wakaugeuza na kupachika waraka FEKI....Na hapo ni baada ya ku conclude kuwa waraka huo fake utageuza sura ya mchezo...Na karata ziko kwa watu wawili...Katibu wa ccm na speaker six.

NB:KAMA KAWAIDA WEWE NI MKABILA SHETWAN!
 
Mwanakijiji can you give us more than a Headline

Gembe tangu siku ya kwanza nimeweka clues zote kwa Polisi; sina ushahidi wowote mkononi lakini uzoefu wangu unaniwezesha kupiece up vitu fulani hasa unapozungumza na watu karibu wa tano waliohusika na ajali na wote wana stori tofauti za details za ajali.

Wengi wao hawajui nimezungumza na nani na maswali yangu siyatoi hewani tu yana msingi. Nikisema ninachoamini kimetokea nitakuwa nimesolve crime; Kwangu mimi Polisi ni mashahidi wa kwanza wa uchunguzi wowote huru. Tatizo watu wanataka Polisi wachunguze; yaani mashahidi wawachunguze wengine; nani atawachunguza wao na nafasi yao katika ajali hii?

Kumbukeni Clues: Muda, mwili, gari, simu, n.k kama nilivyoanisha. Do we need a Joram Kiango or a Willy Gamba
 
mie Msomi Ambaye Siyo Mchaga!

Kifo Siyo Cha Kawaida?mbona Unajipa Uwezo Wa Kimungu?hivi Nani Anapanga Maisha Ya Binadamu?unajua Tunasahau Vitu Vingina Wkati Mwingine Tunamsahau Mungu Kwa Masilahi Ya Chama Tu.

Do You Believe Everything Is Happen For A Purpose?even Chadema Kumsimamisha Wangwe It Happen For A Purpose..

Wewe Msomi Usiyekuwa Mchagga Nataka Nijuwe Kabila Lako Halafu Nijuwe Umewafanyia Nini Wananchi Wako Toka Upate Elimu Hiyo Uliyonayo...narudia...nataka Nijuwe Kabila Lako NA ULICHOWAFANYIA WANANCHI KWA KUTUMIA HIYO ELIMU YAKO...NA KAMA ELIMU YAKO ULIYOPEWA NI YA CHUKI DHIDI YA WABANTU...BASI NA WEWE NI PANDIKIZI NA UWE MAKINI SANA!
 
Mie msomi ambaye siyo Mchaga!

Kifo siyo cha kawaida?mbona unajipa uwezo wa kimungu?hivi nani anapanga maisha ya binadamu?unajua tunasahau vitu vingina wkati mwingine tunamsahau Mungu kwa masilahi ya Chama tu.

Do you believe everything is happen for a purpose?even CHADEMA kumsimamisha Wangwe it happen for a purpose..

Line hiyo ya mawazo si nzuri kwa sababu if that is case kwanini tunahangaika na mafisadi maana in great scheme of things na wao wanatimiza kwa namna moja au nyingine "Mapenzi ya Mungu" na sisi kuangilia kati mambo yao ni kama kuingilia kati mpango wa Mungu.
 
mbona uchunguzi ulishamalizika au kuna mwingine? na "The Yard" walipewa jukumu hilo pia, kama walivyoitwa Antigua hivi majuzi, au Kenya in the 90s au Pakistani mapema mwaka huu na sehemu nyingine kibao.
 
WARAKA WA MADINI INAWEZEKANA ULIFICHWA NA MAFISADI...Halafu wakaugeuza na kupachika waraka FEKI....Na hapo ni baada ya ku conclude kuwa waraka huo fake utageuza sura ya mchezo...Na karata ziko kwa watu wawili...Katibu wa ccm na speaker six.

NB:KAMA KAWAIDA WEWE NI MKABILA SHETWAN!

Ina maana hawa mafisaid bado wan ngvu kubwa kiasi hiki mpaka leo?Umekubali wana uwezo wa kufanya watakavyo.Wameweza hadi kuugeuza?

basi unajua waraka wa Madini aliouacha Wangwe..wameugeuza in maana wewe una huo waraka wa Madini.na kwa maneno ya Zitto
Kwa mujibu wa Kabwe, sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1996 inatambua ndugu wa marehemu kuwa wamiliki wa mali na taarifa muhimu zinazomhusu marehemu, hivyo ni ajabu CCM kumiliki waraka huo wakati haina uhusiano wa kindugu wala kiitikadi na marehemu Wangwe.

sasa CHADEMA ni ndugu wa Wangwe kwa seria ipi?wewe umeutoa wapi?kama na zitto atakuwa nao huo ambao umegeuzwa basi na yeye atashitakiwa kwa sheria hii..tunauzunguka Mbuyu

NB:Mie ni mkabila ndiyo,ila nimejifunza tabia hii kutoka kwa wachaga!
 
Tatizo ni kama daktari wa Kenya alikataliwa...Basi sidhani kama watakubali mchunguzi wa nje...Ndio maana tunataka kujuwa kuhusu hilo la kuruhusiwa UCHUNGUZI HURU.
 
Kwa mujibu wa Kabwe, sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1996 inatambua ndugu wa marehemu kuwa wamiliki wa mali na taarifa muhimu zinazomhusu marehemu, hivyo ni ajabu CCM kumiliki waraka huo wakati haina uhusiano wa kindugu wala kiitikadi na marehemu Wangwe.

kama Prof. Samwel Wangwe ni CCM na ni ndugu wa Marehemu haruhusiwi kuwa nao?Hoja za zitto ni nyepesi sana..Hili suala ni zito na inabidi zitto atulie na kutafuta hoja nzito
 
Ina maana hawa mafisaid bado wan ngvu kubwa kiasi hiki mpaka leo?Umekubali wana uwezo wa kufanya watakavyo.Wameweza hadi kuugeuza?

basi unajua waraka wa Madini aliouacha Wangwe..wameugeuza in maana wewe una huo waraka wa Madini.na kwa maneno ya Zitto

sasa CHADEMA ni ndugu wa Wangwe kwa seria ipi?wewe umeutoa wapi?kama na zitto atakuwa nao huo ambao umegeuzwa basi na yeye atashitakiwa kwa sheria hii..tunauzunguka Mbuyu

NB:Mie ni mkabila ndiyo,ila nimejifunza tabia hii kutoka kwa wachaga!

WEWE GEMBE NI SHETANI MWENYEWE!
Huo waraka kwanza museme mliutowa wapi...Maana kama mnao huo wa ugomvi wa chadema...Basi na huo mwingine pia mnao kwani briefcase ama laptop vilikuwa na documents za marehemu!

NAOMBA UWE MAKINI SANA...TENA SANA...UNAPOJARIBU KUENDELEA NA UKABILA...NAKUONYA KWA MARA NYINGINE TENA...WEWE GEMBE UMEFUNDISHWA UKABILA NA WACHAGGA..WACHAGGA WAPI HAO?
Nakwambia WEWE NI SHETANI.
 
Line hiyo ya mawazo si nzuri kwa sababu if that is case kwanini tunahangaika na mafisadi maana in great scheme of things na wao wanatimiza kwa namna moja au nyingine "Mapenzi ya Mungu" na sisi kuangilia kati mambo yao ni kama kuingilia kati mpango wa Mungu.
Mwanakijiji bwana?

ila kifo na ufisadi ni vitu viwili vinavyotofautiana kabisa..tusilazimishe hoja kwa kuwa....
 
Mkiongea na Google kwa kushirikiana na controllers wa USA (au wanaomiliki satellite zinazo-monitor haka kadunia ketu) wanaweza kuwapatieni satellite pictures za ule usiku kwenye tukio mtawafunga goli safi sana maana hizo zipo na walio karibu wanaweza kuzipata ingawa inaweza kuchukua muda ili kujua kama ilikuwa ni ajali au la. Lakini mnavyojua tena Kichaka ........Just thinking....

Hii ni possible kwasababu hata ile issue ya MV BUKOBA WAO WALIONA KILA KITU NA HATA HABARI ZA KUZAMA KWAKE ZILIJULIKANA KWA WAZUNGU KABLA HATA WABONGO WENYEWE KUZIPATA.
 
mbona uchunguzi ulishamalizika au kuna mwingine? na "The Yard" walipewa jukumu hilo pia, kama walivyoitwa Antigua hivi majuzi, au Kenya in the 90s au Pakistani mapema mwaka huu na sehemu nyingine kibao.
Je walifanya kile watu walichokuwa wakikijua au kukihisi?
 
Hivi CCM inaweza vipi kuthibitisha kuwa ni waraka wa Wangwe?

inaweza kuthibitisha kwa kuwa wangwe ndiye aliyewapa(nionavyo).Mpaka kieleweke si alisema marehemu Wangwe alishawahi kukutana na RA pale Kempski?

WARAKA WA MADINI INAWEZEKANA ULIFICHWA NA MAFISADI...Halafu wakaugeuza na kupachika waraka FEKI....Na hapo ni baada ya ku conclude kuwa waraka huo fake utageuza sura ya mchezo...Na karata ziko kwa watu wawili...Katibu wa ccm na speaker six.

Waraka uligeuzwa?ina maana wewe unao ule ambo haukugeuzwa?sheria ya TISS ya 96 inasemaje?on both sides as Zitto said it can also apply to CHADEMA..

Unajua Mjadala wa Suala la Wangwe tuliuanzisha sisi hapa JF,na itabidi tuamallize siye wenyewe.Mwanakijiji aliuanzisha na tena akauandikia katika makala ya Gazeti.

Mzee inabidi umalize tu kesi uliyoianzisha
 
It is becoming more and more difficult to hold a sensible discussion in this forum because of a few contributors who are acting like small children in a kindergarten school - how sad. Without pointing fingers I have but one simple request - can we all try to act like we are in command of our emotions and at times shut up when we have no subject of substance. It makes some of us feel bored and left-out. No offence meant comrades - tukate issues.
 
I Don't Believe Kama Hoja Hapa Ilikuwa Madini. Sioni Kipya Cha Kuhusu Mikataba Ya Madini Kitakachoistua Mimi, Achilia Mbali Ccm. Unless Kama Hoja Yenyewe Inatoka Ndani Ya Mbunge Wa Ccm Lakini Sio Wapinzani. Hivyo Kusema Kuwa Marehemu Amekuta Na Janga Hili Kwa Sababu Ya Hoja Yake Ya Madini...i Beg To Differ.

Naomba Kujua Familia Ya Marehemu Makazi Yao Ni Wapi Dar, Tarime Au Dodoma?
 
cha Ajabu Mbowe hajatoa tamko la chama kwa familia,wapenzi na wanachama wa Chadema.
wala hajaenda kuiona familia ya marehemu, nadhani sasa ni wakati wa Mwanakijiji kuanzisha Mchango wa kuilea familia ya Wangwe.

pia tumuombe Majid Mjengwa aandike kitabu cha maisha ya Wangwe na misukosuko aliyopata.
 
Wewe Msomi Usiyekuwa Mchagga Nataka Nijuwe Kabila Lako Halafu Nijuwe Umewafanyia Nini Wananchi Wako Toka Upate Elimu Hiyo Uliyonayo...narudia...nataka Nijuwe Kabila Lako NA ULICHOWAFANYIA WANANCHI KWA KUTUMIA HIYO ELIMU YAKO...NA KAMA ELIMU YAKO ULIYOPEWA NI YA CHUKI DHIDI YA WABANTU...BASI NA WEWE NI PANDIKIZI NA UWE MAKINI SANA!
Mushi kwani wachagga wana lipi la maana zaidi ya kuwa wabahili na wanasoma CPA ili wakwapue kwenye mashirika?
 
cha Ajabu Mbowe hajatoa tamko la chama kwa familia,wapenzi na wanachama wa Chadema.
wala hajaenda kuiona familia ya marehemu, nadhani sasa ni wakati wa Mwanakijiji kuanzisha Mchango wa kuilea familia ya Wangwe.

pia tumuombe Majid Mjengwa aandike kitabu cha maisha ya Wangwe na misukosuko aliyopata.

My God, amerudi na mgagagigikoko - mbona balaa leo. Post zingine zinachefua kwelikweli.
 
Pamoja na Prof Wangwe kusema wana wasiwasi na kifo cha marehemu kuna mambo nafikiria kiundani zaidi.

Prof Wangwe kuna uwezekano mkubwa ni CCM hata kama hajajitangaza wazi, hivyo basi kuna uwezekano baada ya YEYE mwenyewe kuwa msemaji wa familia na kukubali uchunguzi.Bado wameona kuna rumors nyingi ambazo wameshindwa kuzihandle na kila mpira unaangukia eneo la penati kwenye goli la CCM.ukianzia vyombo vya habari vilivyoripoti , na taarifa tatanishi za Deus Mallya.Ili kuzima na ionekane hata familia bado na wako against na hili basi nikusema kuwa wana wasiwasi, AMESEMA WANA WASIWASI LAKINI HAJASEMA WATAFANYA NINI! badala yake anataka watu wasiseme lolote mpaka polisi watakavyofanya uchunguzi.Uchunguzi upi huo? Deus amesema nini mpaka leo? mara ya kwanza kabla ya maziko akina nani walifanya uchunguzi wa maiti?.Hivi Prof siyo anatuzunguka kuna uwezekano kabisa marehemu aliuawa na mwili ulivyochunguzwa ulionyesha hivyo ila kwa sababu za kiusalama waliambiwa wasiseme lolote.

Haya leo mwili umezikwa endapo hao wataalamu watataka mwili ufanyiwe uchunguzi watafanyaje? maana uchunguzi yakinifu ni pamoja na kuona mwili may be!

Prof Wangwe anataka tuaminishe kuwa polisi wa Tanzania wanauwezo mkubwa? labda, lakini wakipata ukweli watautoa bila kificho pasipo kuuliza kwa mkuu wa taifa hili? na je kama taarifa mbaya itatoka?

Kama kwa level ya profesa unawaza hivi !!! naogopa! na kuwaambia watu wasispeculate unataka nini? Kama kweli amefikia kusema hivi bila hali yoyote basi ameweza tu kwa sababu za hisia ambazo hataki!!!

hakuna kitu chenye demokrasia kama mawazo ya mwanadamu anaweza akawaza lolote lile, hata asipolisema, wachache tunaweza waza na kusema kama kilivyo.Prof Wangwe hii yote siyo janja ya nyani? yaani wewe na wanafamilia wenzako mfikie kusema hivyo pasi kutoa suluhisho au kusema wachunguzi watoke nje ya nchi?

kama ni hivyo nashawishika kusema kuwa kuna swala limejificha nyuma ya kifo cha Wangwe si muda kila kitu kitafunuliwa.

Waberoya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom