Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
MKJJ,

How Much time does it takes for a man to speak what he knows it is true?I think it is a time to say what you have and stop to speculate..

I wanna know all about it.

NAONA ccm WAMEKAMATWA PABAYA...Mama yangu nakwambia huyo professa Wangwe anaweza kuleta mapinduzi kuanzia huko ccm!

This is getting VERY VERY EXCITING IN EVERY SECOND OF A MINUTE OF AN HOUR...Yani developments zinafurahisha kwani ni wanandugu wanatowa duku duku lao na pia ushirikiano this time...Kama Wangwe alijitowa muhanga...Basi Six ahakikishe AMANI INABAKI...Pia tunaomba familia ya marehemu ipewe ushirikiano wote wanaoona unafaa.
 
MKJJ,

How much are we talking about here to cause a us a concern?[/quote]

Yebo Yebo you need to UPDATE YOURSELF!
Yani unauliza nini ETI?

Iwapo Marehemu alikutwa na Laki 3 kwa nini tuwe na wasiwasi kuwa hela hizo zinahusika na kitu chochote kibaya kwa sababu tunaweza kusema ni hela za mafuta Dodoma mpaka Dar. Sasa maswali yatakuwa mengi iwapo alikuwa na hela ambazo hazina majibu ya haraka kwa wakati ule wa usiku. Umenipata mkuu?
 
naona Ccm Wamekamatwa Pabaya...mama Yangu Nakwambia Huyo Professa Wangwe Anaweza Kuleta Mapinduzi Kuanzia Huko Ccm!

This Is Getting Very Very Exciting In Every Second Of A Minute Of An Hour...yani Developments Zinafurahisha Kwani Ni Wanandugu Wanatowa Duku Duku Lao Na Pia Ushirikiano This Time...kama Wangwe Alijitowa Muhanga...basi Six Ahakikishe Amani Inabaki...pia Tunaomba Familia Ya Marehemu Ipewe Ushirikiano Wote Wanaoona Unafaa.

Mtaniwia Radhi Kipindi Bado Ni Cha Maombolezo...ila Naomba Kutabiri Kuwa Kati Ya Chadema Au Ccm Chama Kimojawapo Kitamshawishi Prof WANGWE Agombee Ubunge Tarime. Time Will Tell, Tuendelee Kukata Issues.
 
Iwapo Marehemu alikutwa na Laki 3 kwa nini tuwe na wasiwasi kuwa hela hizo zinahusika na kitu chochote kibaya kwa sababu tunaweza kusema ni hela za mafuta Dodoma mpaka Dar. Sasa maswali yatakuwa mengi iwapo alikuwa na hela ambazo hazina majibu ya haraka kwa wakati ule wa usiku. Umenipata mkuu?

Kama ni laki tatu ilikuwa ni kama breakfast...Lunch na dinner vilikuwa Dar kwa huyo aliyekuwa akutane naye...However...Hawakuona UMUHIMU HUO KWANI HOJA SIX ALISHAKABIDHIWA...Tunaomba mtu atuletee ile taarifa inayoonyesha siku ya mwisho ya marehemu iliyopostiwa na Mwalimu Kichuguu...Or at least siku mbili za mwisho...Huyo Nyoka alitumwa na haikuwa na maana kwa yeye marehemu kulazimika kuendelea na safari wakati hoja ilikuwa ni kama imeshawakilishwa na kama ni pesa alishazikubali...tatizo lilikuwa ni muda tu...Na ndio maana mtu wa mwisho hapa ni SIX.
 
Kama ni laki tatu ilikuwa ni kama breakfast...Lunch na dinner vilikuwa Dar kwa huyo aliyekuwa akutane naye...However...Hawakuona UMUHIMU HUO KWANI HOJA SIX ALISHAKABIDHIWA...Tunaomba mtu atuletee ile taarifa inayoonyesha siku ya mwisho ya marehemu...Or at least siku mbili za mwisho...Huyo Nyoka aliumwa na haikuwa na maana kwa yeye marehemu kuendelea na safari wakati hoja ilikuwa ni kama imeshawakilishwa na tatizo lilikuwa ni muda tu...Na ndio maana mtu wa mwisho hapa ni SIX.

HUENDA NDIO MAANA SIX ALITOKWA NA MACHOZI.
 
Mtaniwia Radhi Kipindi Bado Ni Cha Maombolezo...ila Naomba Kutabiri Kuwa Kati Ya Chadema Au Ccm Chama Kimojawapo Kitamshawishi Prof WANGWE Agombee Ubunge Tarime. Time Will Tell, Tuendelee Kukata Issues.

Hii issue ilitishia hata usalama wa uongozi wa juu wa chadema...Kwani wangwe angeshinda uenyekiti mwelekeo ni kwamba angeweza kupata URAIS...Sasa wewe unaleta za UBUNGE NA HIVYO UNASABABISHA NIJIULIZE SANA KUHUSU UWEZO WAKO WA KUFIKIRI!

Mahesabu madogo madogo ya hapa na pale yanapelekea wewe kufikiria hivyo...Na hapo ndio maana tumegawanyika..Kwani issue ya madini wewe unaiita ya ubunge.

Haya..Kabla hawajaenda mahali waanzie na hao militia wanaowalinda mabosi wanaojiita wabunge na huku wakiwa wanawakilisha kaburu!
 
Yebo2

Dodoma - Morogoro huna sababu ya kununua mafuta njiani ni mwendo wa kama saa 3 - 4 kwa gari ndogo. Kama ukiwa na full tank unafika bila wasi wasi. Sifikirii Mwanakijiji anaongelea vijisenti, ni in terms of millions.
 
Mwanakijiji can you give us more than a Headline
 
HUENDA NDIO MAANA SIX ALITOKWA NA MACHOZI.

Kama Six alimshauri asiende mahali...Basi huyo Mallya ni mtu mzito sana kwani alimsababisha mtu aliyekuwa mgonjwa kuukataa ushauri wa Spika kuwa labda asiende mahali hadi hoja itakaposomwa...TATIZO SHETANI MWENYEWE ANAYEITWA MALLYA ALIKUWA TAYARI NDANI YA NYUMBA...Na ndio maana nilitaka sana kujuwa juhusu option ya sumu...Kwani jamaa aliumwa sana ghafla kabla ya kuwakilisha hoja...Inanikumbushia malaria hiyo hiyo aliyoipata Zitto wakati akitakiwa Bungeni kuijadili hoja ya Madini.
Tulishasema mambo haya ni HATARI SANA!

NB:Inaelekea walimpa ahadi ya DONGE NONO...Na walipogunduwa hoja iko tayari kwa Six...WAKAONA JAMAA NI TRAITOR!
 
hii Issue Ilitishia Hata Usalama Wa Uongozi Wa Juu Wa Chadema...kwani Wangwe Angeshinda Uenyekiti Mwelekeo Ni Kwamba Angeweza Kupata Urais...sasa Wewe Unaleta Za Ubunge Na Hivyo Unasababisha Nijiulize Sana Kuhusu Uwezo Wako Wa Kufikiri!

Mahesabu Madogo Madogo Ya Hapa Na Pale Yanapelekea Wewe Kufikiria Hivyo...na Hapo Ndio Maana Tumegawanyika..kwani Issue Ya Madini Wewe Unaiita Ya Ubunge.

Haya..kabla Hawajaenda Mahali Waanzie Na Hao Militia Wanaowalinda Mabosi Wanaojiita Wabunge Na Huku Wakiwa Wanawakilisha Kaburu!

Umesoma Nilichoandika Lakini Hukunielewa..!!
 
yebo2

Dodoma - Morogoro Huna Sababu Ya Kununua Mafuta Njiani Ni Mwendo Wa Kama Saa 3 - 4 Kwa Gari Ndogo. Kama Ukiwa Na Full Tank Unafika Bila Wasi Wasi. Sifikirii Mwanakijiji Anaongelea Vijisenti, Ni In Terms Of Millions.

Tatizo Mwanakijiji Naye Anakuwa Kama....sitaki Nataka..ohh Subiri Kidogo.
 
Kama Six alimshauri asiende mahali...Basi huyo Mallya ni mtu mzito sana kwani alimsababisha mtu aliyekuwa mgonjwa kuukataa ushauri wa Spika kuwa labda asiende mahali hadi hoja itakaposomwa...TATIZO SHETANI MWENYEWE ANAYEITWA MALLYA ALIKUWA TAYARI NDANI YA NYUMBA...Na ndio maana nilitaka sana kujuwa juhusu option ya sumu...Kwani jamaa aliumwa sana ghafla kabla ya kuwakilisha hoja...Inanikumbushia malaria hiyo hiyo aliyoipata Zitto wakati akitakiwa Bungeni kuijadili hoja ya Madini.
Tulishasema mambo haya ni HATARI SANA!

Mushi..

mie kuna kitu kinanitatiza,Baba yake na Malya kasema malya kazaliwa 1983,ila Malya ana Miaka 27?

Baba yake amesema mwanaye hajawahi kwenda Nje ya nchi kwa masomo,Je huko Nairobi alienda kufanya nini?

Hanayaogopa Magari,wakati fundi aliwahi kumuona akiendesha gari.

Je inawezekana Malya ana matatizo ya kumbukumbu?

Ni askari yupi alikuwa wa kwanza kufika eneo la ajali?

nahisi kuna makosa yamefanyika katika kutoa habari ya ajali hii na hili ndilo tatizo,ila ni ajali kama zingine tulizozizoea,ila time wont tell labda kama nchi hii kuna malaika.

Mie naona tukubali kuwa ni ajli tu,sababu hata MMKJ anagusa gusa tu wiki sasa na aeleze moja kwa moja wat he knows it is true.Nimezoea kuona siasa za kuogoapana ila nimekuja kugundua ndivyo tulivyo,watu wa kuogopa kusema ukweli hata kama unajua,kisa unaogopa kama ikitokea ikaawa sivyo ulivyosema..
 
Gembe na YEBO YEBO...Habari ambazo zimeshatolewa kama mngekuwa mnashughulisha MBONGO ZENU...Especially GEMBE kama unavyojiita MSOMI....Basi Msingeongea MANENO mbofu mbofu.

Issue iko wazi kuwa kifo si cha kawaida...Ila tumeshajuwa kuwa nyie mnataka siasa na wewe pia labda ulipata waraka uliosambazwa ambao unaonekana kuwa ni hoja ya vurugu za chama huku ukweli ukiwa ni hoja ya madini.
 
''Hivi CCM ina uhusiano gani na mbunge wa Chadema au ndugu wa marehemu hata ikahalalisha kumiliki waraka huo na kuusambaza bila woga?''
CHADEMA,si mlishamsimamisha Wangwe kutoka kwenye uongozi mkimponda kwa mambo mengi,na nyie akiwalaumu kuwa chama kimejaa ukabila na ufujaji wa pesa za Ruzuku.Hili suala linataka kuwa la kisiasa na lengo lake ni kutufanya siye tuache masuala yahusuyo taifa.

utawaju watu kwa maneno yao na matendo yao.Sasa hivi Marehemu Wngwe amekuwa mzuri kwasababu ya mtaji wa kisiasa?I said mapema and i will keep saying this.Ole wenu CHADEMA..i know the fact but msipoangalia hili suala litashusha hadhi ya Chama chenu kabisa.

Kwa mujibu wa Kabwe, sheria ya usalama wa taifa ya mwaka 1996 inatambua ndugu wa marehemu kuwa wamiliki wa mali na taarifa muhimu zinazomhusu marehemu, hivyo ni ajabu CCM kumiliki waraka huo wakati haina uhusiano wa kindugu wala kiitikadi na marehemu Wangwe.

Hivi kama mtu alitoa waraka huo kabla yeye hajafa,na watu wakwa nao na kuendelea kusambaza,Je kuna kosa?Waraka unaoongelea mambo yanayohusu CHADEMA na wangwe umekuwa ni waraka wa Familia ya wangwe?
 
Kwa Taarifa tu...
Miriam Wandwe (Warden) ni mke mdogo, Mke wa kati aliwekwa kando baada ya Marehemu kuwa Mh.

Nashuru kwa UPDATE...Ila swali bado ninalo...Ni kweli marehemu alimpigania huyo mke wa watu?
Ama aliunganishiwa?

Maana IPO TOFAUTI KATI YA KUMGOMBEA MKE WA MTU NA KUUNGANISHIWA...Kwani kuunganishiwa kunaweza kuwa MTEGO.

Lakini kama ni kweli alipigania...Basi hoja hiyo ya kuunganishiwa inakuwa BUTU.
 
Hivi ni nani anachunguza kifo cha Princess Diana?
 
CHADEMA,si mlishamsimamisha Wangwe kutoka kwenye uongozi mkimponda kwa mambo mengi,na nyie akiwalaumu kuwa chama kimejaa ukabila na ufujaji wa pesa za Ruzuku.Hili suala linataka kuwa la kisiasa na lengo lake ni kutufanya siye tuache masuala yahusuyo taifa.

utawaju watu kwa maneno yao na matendo yao.Sasa hivi Marehemu Wngwe amekuwa mzuri kwasababu ya mtaji wa kisiasa?I said mapema and i will keep saying this.Ole wenu CHADEMA..i know the fact but msipoangalia hili suala litashusha hadhi ya Chama chenu kabisa.

Hivi kama mtu alitoa waraka huo kabla yeye hajafa,na watu wakwa nao na kuendelea kusambaza,Je kuna kosa?Waraka unaoongelea mambo yanayohusu CHADEMA na wangwe umekuwa ni waraka wa Familia ya wangwe?

WARAKA WA MADINI INAWEZEKANA ULIFICHWA NA MAFISADI...Halafu wakaugeuza na kupachika waraka FEKI....Na hapo ni baada ya ku conclude kuwa waraka huo fake utageuza sura ya mchezo...Na karata ziko kwa watu wawili...Katibu wa ccm na speaker six.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom