Mzozo wa Mizozo
JF-Expert Member
- May 26, 2008
- 426
- 15
Aisee BongoTZ ambae kashikilia suala la mapanga kuwepo au kutokuwepo ni Zito Kabwe. Yaani safari hii wanaogopa na wameona kifo cha Chacha Wangwe kimewaharibia kisiasa. Angalia hata Dr Slaa hasikiki ilhali alikuwa huko na alionekana kwenye TV amejaa hofu na woga wa kucharazwa mapnga na waombolezaji. Lakini kwa kuwa yeye ni bingwa wa kuhonga waandishi wa magazeti hakuna ambacho wamekiandika juu yake. Sisi tuliohudhuria tunajua Slaa na Mbowe mzimu wa Chacha Wangwe utaendelea kuwasuta. Hamkuuona unafiki wao baada ya kifo chake. Ni kama wiki 3 zilizopita walimfukuza umakamu wenyekiti. Leo yule dogo Mnyika ambaye Slaa kuijanja kaona eti awe Kaimu Katibu Mkuu, ndiyo anasema Chacha alikuwa Vice Chairman wao na blah blah. Kweli unafiki huo ulinitia kichefuchefu. Hawana lolote. Wanafiki wakubwa. Wakae wakijua by election ijayo hicho kiti wamekipoteza. Ndiyo maana kama umesoma gazeti la Tanzania Daima jana utaona jitihada ya kumsafisha Mbowe. Naye huyo Datoo eti kaunda tume ya kuchunguza. Nothing but cheap propaganda.
Kabla ya kuendelea nilikuwa nahitaji kuhoji kitu kimoja maana kwa upande wangu naona kwamba tunajitahidi kupotosha habari tofauti na ukweli wenyewe ulivyo. Na inawezekana kwamba ikawa ndio what we were set to do.
Je Marehemu Chacha Wangwe alifukuzwa Umakamu Mwenyekiti ama alisimamishwa? Maana kwa sasa nashindwa kufahamu lipi lipo sawa? Na mtu unaposimamishwa ina maana umefukuzwa?