Kwa hiyo ina maana Mufti Simba na Wabunge wa CCM walikwenda na Mallya kujifunza ujasusi? Nina habari za uhakika kabisa kuwa katika safari hiyo ya siku chache Mallya alikwenda na wabunge. Na Juma Kilimba Mbunge wa Iramba amesema mahali kuwa alikuwa naye huko.
Habari zaidi zinanieleza kwamba Profesa Lipumba ana ukaribu wa kikazi na Profesa Wangwe na hii hoja ya Libya ilijadiliwa kwa kina mara baada ya maziko, huko mke mdogo wa marehemu anayeitwa Mariam akisisitiza kwamba Mallya ni jasusi.
Naona Mbatia ameongezea na kusema kwamba ana uhakika kuwa ana mafunzo ya kupindua magari. Sasa ni wakati wa IGP kwenda kukutana na Mbatia ili amweleze kile anachojua. Inaelekea anajua mengi sana ambayo polisi hawayajui.
PM
Jamani hebu tuwekee hapa ka-Cv ka huyu Mallya tumjue vizuri yaelekea dogo ana viji-mambo fulani...we cant rule out anything......
mallya anahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kina mno. .....
historia yake ina utata na anaonyesha ni msemaji uongo.
inakuwaje mnapinga any doubt isifanyiwe kazi? inakuwaje mnataka kudumaza uhuru wa kufikiria? au wewe unanjua vizuri Mallya? si utueleze? kifo hiki upinge usipinge kinahitaji uchunguzi wa kuondoa doubt yoyote ili kuweka sawa upinzani.
alafu kuwa Alienda Libya, haimaanishi wanaongelea siku hiyo walipoenda na SISEMU, uenda alirudi baadaye, uenda alikuwa alishaenda, uenda ni wakati huo na huo ndio mkakati!
pili kuwa wanataka kuusambaratisha CHADEMA, ni mapema mno maana kama Zitto alivyosema Wachagga kufukuzwa Tarime, inasikitisha na itasaidia kutuliza zaidi watu wa huko kutowatisha na itakuwa suluhu kama ukweli utabaki wazi; siku hizi watu wanareason tofauti na nyuma.
hivi mtu akisema "nilipokuwa mjini, mvua ilinyesha" ina maana mvua imemnyeshea? Wale wanaotoka maeneo ya Mbulu watatambua kwamba ukiitisha watu wa Mbulu kuwatangazia mpango wa maendeleo ya ujensi wa shule karibu wanaume wote watakuja na fimbo zao ndefu tu. Mgeni kama ukisema "walikuwa na fimbo nyingi" utakuwa sahihi.
Nina uhakika kulikuwa na watu wengi waliokuwa na kamera kule, basi tuonesheni angalau picha ya moja ya mtu aliyebeba panga.
Huu ni mfano wa picha ambayo inaweza kuletwa toka Tarime. Hii ilipigwa Kenya baada ya vurugu za uchaguzi. HIvyo wale waandishi waliokuwa kule Tarime walete picha ambayo inaonesha Mbowe angalau anafukuzwa na mapanga na mikuki hadi kwenye gari; hiyo itathibitisha maneno yao na mjadala utafungwa. Mwenye picha aiweke hapa JF anakomwa nyani giledi! NI picha tu ndiyo itakata ngebe za Chadema.
![]()
[QUOTE=Mushobozi;261100]mimi nadhani tunajifunza kitu kimoja. kosa la chadema kumfukuza chacha, lilikuwa kosa kubwa ambalo tulilipinga tukaonekana wendawazimu ikabidi tunyamaze. ........................
Kuna watu watasema hiyo ni picha ya Kenya, huwezi kuwaridhisha binadamu pale wanapotaka kupindisha ukweli.
Kuna watu watasema hiyo ni picha ya Kenya, huwezi kuwaridhisha binadamu pale wanapotaka kupindisha ukweli.