Jmushi,hunitendei haki kwa kunirushia haya yote, nilichosema ni kuwa kwa kuwa hapa ni mahali pa kujadili msiba na taarifa mbalimbali niliwaomba wachangiaji wasije pafanya hapa pakawa hovyohovyo kwani kuna watu wengi wanatafuta hizi taarifa na ndio chanzo pekee cha taarifa huru na wapo wengine hawataki hizi habari zifike kama zilivyo.
Napinga ukabila na nitampinga yeyote mwenye muelekeo wa KIKABILA, FIKRA HUZAA MATENDO.
Samahani kama nimekukwaza...Ila ikija kwenye haki siangalii usoni...Na mimi elewa sina nia mbaya hapa.
Kwa kuongezea...Huyo Professa Wangwe na yeye ni ccm na inawezekana ni yeye alikuwa direct link ya kuvuja siri za ccm kwenda chadema...Kwani familia ya mwalimu haikupendezwa na uuzwaji wa nchi na hilo lilikuwa wazi hata kina Butiku na Warioba mwanzoni mwanzoni mwa scandal hii..Naona walikuwa hawajajuwa kuwa pesa hizi zinawezekana kuwa ni zile za kigaidi za URANIUM ZA IRAN!
Sasa kwa upande mwingine...Wangwe alikuwa ana tofautiana hata na kaka yake mwenyewe...Ebu watuambie kama na wao wanamfahamu vipi huyo Deusi MKIBOSHO...Kwasababu DEUS,MAKONGORO NYERERE NA SHEICK MKUU SI WALIENDA EGYPT?
Kama kweli hao ndio USALA WA TAIFA...BASI HAKUNA KITU HAPO NA NCHI KWELI INAWEZA KUINGIA KWENYE MATATIZO KAMA TUSIPOKUWA MAKINI.
VIONGOZI NA HII NI KAULI YANGU....MTAKUBALI VIPI VYOMBO VYA SERIKALI VIENEZE UAKABILA WENYE KUTAKA KUPELEKEA CHUKI NA VITA KWASABABU YA CHUKI KATI YA MAREHEMU NA WANGWE?
Na ndio maana niliwaambia hata kina SLAA...Kama na wao wamenyamaza kuna walakini.
Marehemu alikuwa akisema kuwa SIRI ZA SERIKALI ZIMEVUJISHWA NA MKE WA SLAA KWANI NI KADA WA ccm....Na pia pale alipolalamikiwa na chadema kuwa ni kwanini alivujisha siri zao kwa kina Rostam...Jibu lake ni kuwa hata Mke wa Slaa alikuwa akitayarisha chai na kuwa vikao vya siri vya chadema alikuwa akivisikia na hivyo kudai kuwa mke wa Slaa ndiye msaliti...Sasa nilichukizwa sana na tuhuma hizo given the fact kuwa SLAA NA ZITTO NI MASHUJAA WETU HAPA JF.
Marehemu alikuwa akijibu tuhuma kuhusu yeye kukutana na kina ROSTAM AZIZ...Sasa kwa uelewa wetu...Ni kwamba marehemu alikuwa anajuwa siri za pande zote na aliitumia opportunity hiyo kuwapiga bao Mbowe kama chadema pamoja na kaka yake Professa wangwe kama ccm.
Na kusema UKWELI MAREHEMU ALIPANIA KUWA RAIS WETU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA HIVYO ALIKUWA TISHIO KWA PANDE ZOTE MBILI.....NANI ALIKUWA WA KUMPINGA RASTA?ccm ama chadema?Mbowe ama Professa Wangwe?
Sasa mimi nadema kama UKABILA HAUTAPINGWA BASI NAANDIKA KITABU NA ATAKAYEDHANI HAKITANUNULIWA ANAOTA!
Ukweli uwekwe wazi...Ama kama wanazika wazike na wasilete UKABILA KWANI dalili si nzuri...!
Na kwasababu kifo hiki kiliwashtuwa wananchi...Na wananchi wakidai haki zaidi...Usije ukashangaa mtu mwingine anauliwa ili kuonyesha kuwa ni KISASI CHA TIT FOR TAT NA MOTO UENDELEE...Ni tabia ya kuanzisha mapigano ya wenewe kwa wenyewe kwani aliyemuuwa Wangwe anaweza tena kwenda kumuuwa na mchagga...Tatizo akiuliwa Mkibosho...Basi wakibosho na wamachame watazipiga..Ndio alichofanya GAIDI ALZARQAWI wa IRAQ PALE ALIPOKUWA AKIONA KUWA UMOJA UNAANZA KUTOKEA HUKO IRAKI...NA KWASABABU YEYE NI MSUNI...AKAENDE KUPIGA BOMU KWA MSHIA MAHALI PAKE PATAKATIFU ILI KULETA VURUGU!
Na kama RA kweli hana nia mbaya na wachagga....Basi ni bora aache anachokifanya kwani hata wachagga nao si wote ni wakabila!