Kuna hali ya vurugu huko na polisi wamefukuzwa pamoja na viongozi wote waliokuwepo huko.
Wananchi kwa kuwa walishajengwa kisaikolojia kuwa amepigwa risasi walikuwa wanatarajia kuona kuambiwa kuwa ndivyo ilivyokuwa ,sasa baada ya taarifa hiyo kuwa sivyo wamekuwa wakali sana.
Wananchi wengi ni walevi sana na ukweli ni kuwa wamefika wakiwa na mapanga na kuna baadhi wana mishale eneo hilo.
Wananchi hao ambao ni wapo hapo wanalazimisha kuwa lazima CHADEMA inahusika kwenye msiba huo na wamefikia mahali pa kuwatishia wanachama wa CHADEMA kuwa chama kinahusika .
Wamemaliza kuzika na hali imetulia sasa ,baada ya kikundi cha vijana wale kuondoka.
TBC hawaonekani tena huko na huenda wameamua kuondoka nalifuatilia hilo pia kuwa kwa nini wameamua kuondoka huko.