CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
siku zote marehem hasemwi wala hatajwi kwa mabaya, wahenga walikuwa na hekima kubwa sana, sababu merehmu keshafumba mdomo hana uwezo wa kujitetea kwa kwa kusemwa vibaya na kushutumiwa ingawa inahisiwa anasikia na kuona kila kitu.
Hivyo kutosema mabaya ya marehem haimaanishi watu hawajui mabaya na maovu yake ua wamesaahu la asha, bali wanataja mazuri yake tu ili mwenyewe marehemu asikie na aone akitajwa kwa mazuri.
Mwisho kumbuka kila mtu atakufa na hata ww na mimi tutakufa tu, hatujui mwisho wetu kama utakuwa ni mwema au utakuwa ni mwisho mmbaya, vyovyote iwavyo hautajisikia viuri kama tukitajwa kwa mabaya na ili hali tukishindwa kujitetea.
Acha woga, Komba alikuwam shetani mkubwa! Aende akahukumiwe huko, hakuna cha kuficha hapa. mshenzi mkubwa tu! Alidhani hatakufa kwa kejeli alizokuwa akiwatusi watanzania. Kwake CCM ndio bora kuliko wengine wasiokuwa CCM