Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

Watanzania Wa Leo si Wa kusikitikia Wapolaji Wa Haki na maliasili zao.Naona Israel mtoa roho ameamua kufanya Kazi yake ya kuchukua roho za Wabaya Wa taifa letu. Waacheni waondolewe make wao wenyewe hawajihurumii.
 
Hali hii ikiendelea tuu tutashuhudia vingi
 
Unabisha nini sasa??!!
Wanachukiwa zaid wale waliosahau shida za wananchi na kuona uongozi ndio kila kitu. Wale wanaofanya makusudi kukwamisha move za kuboresha maisha ya watu walio wengi!!!

Mtu wa aina hii ukimpenda hata yeye atakushangaa sana

Kuna jamaa kamtungia wimbo yaani kweli watu wana hasira na watu wa hii nchi.
 
Warioba Anahangaikia Wanyonge Yeye Akamtaka Afe Sasa Kibao Kimegeuka Mungu Ni Wa Khaq Sana
 
Ni sababu ya kumtomjua mungu basi.

Nimebahatika kupata taarifa za misiba za watu wengi tu nikiwa harusini...

Wakati Wa kifo cha Nyerere watu hawakuona raha ya harusi lakini nikushuhudie Jana watu pamoja na kusikia Komba kafa Harusi iliendelea na masham sham Kama kawaida.....

Halafu wachawi na majahili tu ndo huheshimu Sana vifo kwa unafiki wao lkn kwa wengine ni jambo la kawaida kwani huwapata binadamu wote....

Komba angemjua Mungu unaemsema asingemnenea Warioba ufedhuli ule....

Nanyi mnemjua Mungu msingeacha wajawazito wateseke kulala chini na wagonjwa kufa kwa kukosa dawa huku mapesa mkipeleka kwenye katiba isiyo na Tija...
 
Mpwa MUNGU akubariki kwa haya maneno mazito uliyoyaweka hapa, nimeyasoma na kuyaelewa vizuri, tunavuna walichokipanda kwetu, huu ni mwanzo wa Mwisho, hakuna wa kurudi nyuma akawa jiwe la chumvi.
Nimebahatika kupata taarifa za misiba za watu wengi tu nikiwa harusini...

Wakati Wa kifo cha Nyerere watu hawakuona raha ya harusi lakini nikushuhudie Jana watu pamoja na kusikia Komba kafa Harusi iliendelea na masham sham Kama kawaida.....

Halafu wachawi na majahili tu ndo huheshimu Sana vifo kwa unafiki wao lkn kwa wengine ni jambo la kawaida kwani huwapata binadamu wote....

Komba angemjua Mungu unaemsema asingemnenea Warioba ufedhuli ule....

Nanyi mnemjua Mungu msingeacha wajawazito wateseke kulala chini na wagonjwa kufa kwa kukosa dawa huku mapesa mkipeleka kwenye katiba isiyo na Tija...
 
Ni sababu ya kumtomjua mungu basi.

mungu hayuko na walaf,wanyang'anyi wajaza matumbo, huku watoto wa masikin wakiwa na utapimlo soma bible we mwanamama usitake kutuaminisha uongo na hata umpake mafuta vip ni mchafu tu na imeandikwa kauli ya weng ndo kauli ya mungu na weng tumesema huyu ni mchafu kama mikono ya paulo ilompiga mwenye hekima wetu na mungu atasign hivyo!
 
.....kupitia msiba wa kpt John Komba ndio nimeanza kuthibitisha chuki kati ya watawala na watawaliwa,hasira kati ya 'wao na sisi',roho mbaya kati ya daraja la chini na daraja la juu....
Watu hawana huzuni tena...na kuna watu wanaongea maneno machafu.....
Nchi haipo salama sana....hasira za matabaka zinaongezeka...

Liko wazi..., na bado, huu ni mwanzo tu.
 
Hata komba walikua wanamtetea hivyohivyo unafikili job lusinde kama anayasoma gaya kuna kitu yuko anajifunza subili binge LA bajeti atakuja kawa mtoto mwema
 
Back
Top Bottom