mzaula ndahani
Senior Member
- Feb 20, 2015
- 138
- 20
Jamani mie mpaka naogopa hivi job lusinde haya yuko anayasoma siku Nae akifa shauli yakeMimi simo kabisaa
Mhhh!! Ngoja nijaribu kuconnect DOTs LULU - KOMBA - kifo cha KANUMBA halafu tuliambiwa wakati KANUMBA anaaga dunia ndani kulikuwa na watu zaidi ya watatu naishia hapo mwenye akili ataelewa namaanisha nini.
Khaa!! Hivi nyie mna akili kweli? Kumsema vibaya marehemu kuna wasaidia nini?? Yule hayupo nasi tena wala hasikii tena. Hapa mnachokifanya hakuna zaidi ya kuwatia majonzi ndugu na wapendwa wake tu. Mnachoonesha ni utoto katika siasa. Eti wanasiasa wengine wajifunze, wajifunze nin? Nani asiyejua kifo? Ndiyo maana mtu akifa husemwa kwa mazuri hata kama ni ya uongo ili kuifariji familia na hata ukisema mabaya yake atajitetea vipi naye kisha kufa?
Jamani hata akili kidogo ya kuliona hili hamna? Ndiyo shida ya kuwa na wanasiasa njaa kali kuliko wazalishaji
Khaa!! Leo masai dada angu naona uko " mitungi sana" hata kutype huwezi. Tulia kunywa maji mengiUnatakakunambiaalimuuakanumbanayekauliwaokeybye.
Unatakakunambiaalimuuakanumbanayekauliwaokeybye.
Kazi lusindeYule MBUNGE WA mtera hivi anaitwa nano vile
Khaa!! Hivi nyie mna akili kweli? Kumsema vibaya marehemu kuna wasaidia nini?? Yule hayupo nasi tena wala hasikii tena. Hapa mnachokifanya hakuna zaidi ya kuwatia majonzi ndugu na wapendwa wake tu ambao ndiyo haohao wanaoipigia kura ccm, cuf, cdm etc Mnachoonesha ni utoto katika siasa. Eti wanasiasa wengine wajifunze, wajifunze nin? Nani asiyejua kifo? Ndiyo maana mtu akifa husemwa kwa mazuri hata kama ni ya uongo ili kuifariji familia na hata ukisema mabaya yake atajitetea vipi naye kisha kufa?
Jamani hata akili kidogo ya kuliona hili hamna? Ndiyo shida ya kuwa na wanasiasa njaa kali wengi kuliko wazalishaji
Yeye kumtabiria Mzee Warioba kifo ilikuwa sahihi?? Warioba hakuwa na ndugu na familia? Usishadadie kama hujui ukweli wa mambo kaa na mkeo huko mkajaze nchi, haya yanayosemwa yalisemwa wakati akiwa hai bado yanaendelea kusemwa hata baada ya kifo chake ili iwe funzo kwa the like...
Haina haja ya kusema vizuri sa hii ubaya wake upo wazi hatuogopi yeye na wote wapumbav kama yeye wakifa kabla yetu tutasema by the way kifo hakiwi mwamvuli waka nini to hell with him
Alazwe panapostahili huyu marehemu
Lakini aliyasema yale wote wakiwa hai! Kupinga jambo lolote ambalo huliamini si dhambi hata kama unajituma au unatumwa.Yeye kumtabiria Mzee Warioba kifo ilikuwa sahihi?? Warioba hakuwa na ndugu na familia? Usishadadie kama hujui ukweli wa mambo kaa na mkeo huko mkajaze nchi, haya yanayosemwa yalisemwa wakati akiwa hai bado yanaendelea kusemwa hata baada ya kifo chake ili iwe funzo kwa the like...
Khaa!! Kama katika nyie wote mliomsikia akimtuka mzee warioba na hakuna hata mmoja kati yenu aliyekuwa na akili kidogo tu ya kumfungulia kesi ya kutukana hadharani basi mjijue nyie ni dhaifu kwelikweliMkuu Rohombaya unaongelea polisi wepi na mahakama zipi?
na komba ndo alikuwa kinara wa kumtukana warioba wakati tulitaka tupate katiba bora ili tuwe na mahakama safi na jeshi la polisi safi lakini kilichopitishwa MUNGU ndo anajua.
Khaa!! Hivi nyie mna akili kweli? Kumsema vibaya marehemu kuna wasaidia nini?? Yule hayupo nasi tena wala hasikii tena. Hapa mnachokifanya hakuna zaidi ya kuwatia majonzi ndugu na wapendwa wake tu ambao ndiyo haohao wanaoipigia kura ccm, cuf, cdm etc Mnachoonesha ni utoto katika siasa. Eti wanasiasa wengine wajifunze, wajifunze nin? Nani asiyejua kifo? Ndiyo maana mtu akifa husemwa kwa mazuri hata kama ni ya uongo ili kuifariji familia na hata ukisema mabaya yake atajitetea vipi naye kisha kufa?
Jamani hata akili kidogo ya kuliona hili hamna? Ndiyo shida ya kuwa na wanasiasa njaa kali wengi kuliko wazalishaji
Mwanzoni mwa Utawala wa JK alipata kusema vizazi visije kuchapa viboko makaburi ya Watawala....hii ndio tafsiri yake!!! Hili ni funzo japo wanaambiwa kila siku makanisani na misikitini watubu, lakini wengi wao wamekataa sasa waanze kupima kuanzia msiba huu...What goes around must come around. Mungu ni Mkuu Na Kwa Mapenzi Yake Sasa Kauri Ya ''NIATINGIA MSITUNI'' IMEFIKA UKOMO NA TAIFA HALINA UNASABA TENA NA KAULI HIYO MBAYA KUPATWA KUSEMA NA KIONGOZI WA HAIBA HIYO YA UHAMASISHAJI [PROPAGANDA].