kavillondo
Member
- Nov 1, 2014
- 6
- 1
Niliposikia kuna msiba mkubwa ccm nikajua labda nyoka mwenye makengeza ( chenge ) kumbe komba,, ila hata yeye poa tu,,, cheni ya mafisadi ipungue,,
Wenzako hawataki kuyasikia maneno hayo
Kwao kumtukana warioba na kumkata vibao vya mgongoni kuliwanufaisha mfano mmoja alipata ukuu wa wilaya na mmoja tuko hapa tunamuaga,ama kweli ya Mungu mengi ya shetani machache
nadhani kati ya watanzania wote, kauli chafu kwa marehemu imetoka kwa mnyika mnatetea ujinga ili iweje? Mnyika anajua yeye atalazwa wapi? anakumbuka alivyomtukana rais?
Marehemu huenziwa.Husifiwa na kukumbukwa kwa mema yake. Isiwe haramu kusema na alipoteleza pia.Aliposema au kufanya tofauti ya matarajio ya wengi au wote. Maneno ya tahadhari au ya mafunzo wakati wa msiba si kwa ajili ya marehemu.Yeye hausiki tena.Kusema na kutenda.
Alichoposti mtandaoni J.J.Mnyika ni kukumbusha tu kauli ya Hayati Kapteni John Damian Komba aliyoitoa katika Bunge la Katiba. Kauli ya kumsimanga na kumtabiria kifo Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba. Hayati Komba alimwita Warioba 'mzee anayekaribia kufa'. Haikuwa kauli rafiki.Ilikera na kukwaza kwelikweli.
Kukumbusha kauli hiyo wakati wa msiba wa mtoa-kauli si matusi wala kejeli.Ni mafunzo kwa sisi tuliobakia.Tunaaswa kusema na kutenda kwa mipaka hata pale tunapoghadhibika.Tujitahidi sana kuzuia kughafilika. Kifo ni fumbo. Kujua haiwezekani. Tunaaswa kuwa makini na kauli na matendo yetu hasa kuhusu masuala ya kifo.
Tukimtetea Hayati Komba kwa kauli yake,Mzee Warioba atajisikiaje? Misiba itufunze zaidi ya kuhuzunika na kuomboleza kwetu. R.I.P. Captain (Rtd.) John Damian Komba!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Saaml
CHADEMA mmezidi kudhihaki maiti. ni juzi tu Lissu alikuwa anamtukana Nyerere. inawasaidia nini kwenye siasa hapa duniani?
Nimeambiwa tatizo la mnyika ni elimu yake ya kuunga unga, nikachanganya na zangu nikagundua mnyika ana uwezo mdogo wa kufikiri.nadhani kati ya watanzania wote, kauli chafu kwa marehemu imetoka kwa mnyika mnatetea ujinga ili iweje? Mnyika anajua yeye atalazwa wapi? anakumbuka alivyomtukana rais?
Marehemu huenziwa.Husifiwa na kukumbukwa kwa mema yake. Isiwe haramu kusema na alipoteleza pia.Aliposema au kufanya tofauti ya matarajio ya wengi au wote. Maneno ya tahadhari au ya mafunzo wakati wa msiba si kwa ajili ya marehemu.Yeye hausiki tena.Kusema na kutenda.
Alichoposti mtandaoni J.J.Mnyika ni kukumbusha tu kauli ya Hayati Kapteni John Damian Komba aliyoitoa katika Bunge la Katiba. Kauli ya kumsimanga na kumtabiria kifo Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba. Hayati Komba alimwita Warioba 'mzee anayekaribia kufa'. Haikuwa kauli rafiki.Ilikera na kukwaza kwelikweli.
Kukumbusha kauli hiyo wakati wa msiba wa mtoa-kauli si matusi wala kejeli.Ni mafunzo kwa sisi tuliobakia.Tunaaswa kusema na kutenda kwa mipaka hata pale tunapoghadhibika.Tujitahidi sana kuzuia kughafilika. Kifo ni fumbo. Kujua haiwezekani. Tunaaswa kuwa makini na kauli na matendo yetu hasa kuhusu masuala ya kifo.
Tukimtetea Hayati Komba kwa kauli yake,Mzee Warioba atajisikiaje? Misiba itufunze zaidi ya kuhuzunika na kuomboleza kwetu. R.I.P. Captain (Rtd.) John Damian Komba!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Saaml
CHADEMA mmezidi kudhihaki maiti. ni juzi tu Lissu alikuwa anamtukana Nyerere. inawasaidia nini kwenye siasa hapa duniani?
siweji kushiriki dhambi ya kimdidi marehemu.endeleeni wenyewe.
Nitamfuata huko huko mistuni na AK 47.Marehemu huenziwa.Husifiwa na kukumbukwa kwa mema yake. Isiwe haramu kusema na alipoteleza pia.Aliposema au kufanya tofauti ya matarajio ya wengi au wote. Maneno ya tahadhari au ya mafunzo wakati wa msiba si kwa ajili ya marehemu.Yeye hausiki tena.Kusema na kutenda.
Alichoposti mtandaoni J.J.Mnyika ni kukumbusha tu kauli ya Hayati Kapteni John Damian Komba aliyoitoa katika Bunge la Katiba. Kauli ya kumsimanga na kumtabiria kifo Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba. Hayati Komba alimwita Warioba 'mzee anayekaribia kufa'. Haikuwa kauli rafiki.Ilikera na kukwaza kwelikweli.
Kukumbusha kauli hiyo wakati wa msiba wa mtoa-kauli si matusi wala kejeli.Ni mafunzo kwa sisi tuliobakia.Tunaaswa kusema na kutenda kwa mipaka hata pale tunapoghadhibika.Tujitahidi sana kuzuia kughafilika. Kifo ni fumbo. Kujua haiwezekani. Tunaaswa kuwa makini na kauli na matendo yetu hasa kuhusu masuala ya kifo.
Tukimtetea Hayati Komba kwa kauli yake,Mzee Warioba atajisikiaje? Misiba itufunze zaidi ya kuhuzunika na kuomboleza kwetu. R.I.P. Captain (Rtd.) John Damian Komba!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Saaml
nadhani kati ya watanzania wote, kauli chafu kwa marehemu imetoka kwa mnyika mnatetea ujinga ili iweje? Mnyika anajua yeye atalazwa wapi? anakumbuka alivyomtukana rais?
CHADEMA mmezidi kudhihaki maiti. ni juzi tu Lissu alikuwa anamtukana Nyerere. inawasaidia nini kwenye siasa hapa duniani?
kati ya kauli ninazoamini huwa ni binafsi na siyo za chama ni kauli Mnyika. Nassari ameongea vizuri sana kwa niaba ya KUBMarehemu huenziwa.Husifiwa na kukumbukwa kwa mema yake. Isiwe haramu kusema na alipoteleza pia.Aliposema au kufanya tofauti ya matarajio ya wengi au wote. Maneno ya tahadhari au ya mafunzo wakati wa msiba si kwa ajili ya marehemu.Yeye hausiki tena.Kusema na kutenda.
Alichoposti mtandaoni J.J.Mnyika ni kukumbusha tu kauli ya Hayati Kapteni John Damian Komba aliyoitoa katika Bunge la Katiba. Kauli ya kumsimanga na kumtabiria kifo Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba. Hayati Komba alimwita Warioba 'mzee anayekaribia kufa'. Haikuwa kauli rafiki.Ilikera na kukwaza kwelikweli.
Kukumbusha kauli hiyo wakati wa msiba wa mtoa-kauli si matusi wala kejeli.Ni mafunzo kwa sisi tuliobakia.Tunaaswa kusema na kutenda kwa mipaka hata pale tunapoghadhibika.Tujitahidi sana kuzuia kughafilika. Kifo ni fumbo. Kujua haiwezekani. Tunaaswa kuwa makini na kauli na matendo yetu hasa kuhusu masuala ya kifo.
Tukimtetea Hayati Komba kwa kauli yake,Mzee Warioba atajisikiaje? Misiba itufunze zaidi ya kuhuzunika na kuomboleza kwetu. R.I.P. Captain (Rtd.) John Damian Komba!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Saaml
Wewe unayeshinda JF ndio mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri? pambafNimeambiwa tatizo la mnyika ni elimu yake ya kuunga unga, nikachanganya na zangu nikagundua mnyika ana uwezo mdogo wa kufikiri.
Kichwani una akili kweli ? Mnyika karudia tu aliyo yasema Komba au hata hiyo kauli hakuisema ?