Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,513
Jibu swali langu wewe pimbi.
Issue siyo kushangilia!! Hapa watu wana andika wasifu wa marehemu hiyo ndiyo ilikuwa Tabia yake. Unataka wamsifu kwa vile sasa ni marehemu?? By the way huu in ujumbe kwa walio baki wenye tabia kama ya Komba. Mnatakiwa mjifunze kwa kupitia kifo cha Komba. Ccm wenye Tania na uropokaji kama was Komba mko wengi. Jirekebisheni.
Alivyo sema Mh anakaribia kufa mbona hamkumuambia afute kauli yake?? Sasa katangulia kamuacha Mzee wa watu.
Wazazi wamefikaje huku tena jamani? Si mmalizane wenyewe tu!
Kwani unafikiri hakuna maprofesa wahuni.Inakuaje hadi maprofesa wanatumia neno kubwabwaja? Hili ni neno linaleta picha nzuri au linatafsiri aina ya mtu anayeliongea? Mh Rais kwa mfano anaweza tumia neno hili,au ni la wahuni wahuni.Nielimisheni
Khaa!! Hivi nyie mna akili kweli? Kumsema vibaya marehemu kuna wasaidia nini?? Yule hayupo nasi tena wala hasikii tena. Hapa mnachokifanya hakuna zaidi ya kuwatia majonzi ndugu na wapendwa wake tu ambao ndiyo haohao wanaoipigia kura ccm, cuf, cdm etc Mnachoonesha ni utoto katika siasa. Eti wanasiasa wengine wajifunze, wajifunze nin? Nani asiyejua kifo? Ndiyo maana mtu akifa husemwa kwa mazuri hata kama ni ya uongo ili kuifariji familia na hata ukisema mabaya yake atajitetea vipi naye kisha kufa?
Jamani hata akili kidogo ya kuliona hili hamna? Ndiyo shida ya kuwa na wanasiasa njaa kali wengi kuliko wazalishaji
yaani huyu mtu anasemwa vbaya jamani lllooohhh
hyu mtu moto wa aMungu wa kwake