Flora Msoffe,
Hebu niambie kwa akili yako kumsema vibaya marehemu kunasaidia nini?? Arudi ajitete? Kama kuna mabaya alifanya wakati wa uhai wake mbpna mlikuwa kimya?? Tuna sheria na taratibu tumejiwekea dhidi ya watu watendao mabaya kwa jamii km polisi na mahakama
Mlikuwa wapi hadi msubiri afe? Hii siyo dalili ya udhaifu kweli??
Wanabodi salamu kwenu,
Natanguliza kutoa pole kwa familia,ndugu, jamaa na Marafiki wa familia ya kapt Komba bila kuwasahau wananchi wa Mbinga ambao marehemu alishawakimbia muda mrefu anaishi dar Kwenye kiyoyozi muda wote leo wanapata mshtuko mkubwa kuambiwa mbunge wao amewatoka hakika ni majonzi makubwa sana.
Hapa nawalenga wanasiasa wetu, ni vema kila mwanasiasa akajitathmini, msisahau siasa ni Karama tulizogawiwa na M/Mungu kama zilivyo karama zingine.
Ndugu zangu Mwenyzi Mungu ametupa utashi wa kupambanua mambo tofauti na wanyama.....
Lakini pia mkumbuke kila mtu hapa duniani atakumbukwa tu Mara baada ya kututoka but style za kukumbukwa huwa zinatofautiana, either utakumbukwa kwa mabaya yako ulipokuwa hai au kwa mazuri yako.
Ndugu wanasiasa wengi wenu mmekuwa mkijisahau sana kwamba pia kuna maisha out of politics but ukweli ni kwamba wew kufa hakukuondolei ukweli wa yale uliyokuw ukiyafanya kipindi cha uhai wako.
Hapa ninachokilenga ni kwamba kifo cha Kapt Komba kimeibua hisia tofauti ndani ya jamii, wengi wamekuwa wakiona ni sahihi huyu Mzee kupunzika, wengine wakisema kauli zake zilikuwa za kuudhi na kutaka kuchafua nchi..... Lakini kundi la pili likidai watu kumsema marehemu siyo sahihi inajenga image mbaya kwa jamii....
Ukweli ni kwamba kifo isitumike kama mwavuli wa kuficha mabaya ya mtu, hii ni dalili ya uwoga watu kuogopa kuhukumiwa baadae huko ahera kwa kusema mabaya ya marehemu... Ukweli hauwezi kubadilishwa kwani hakuna binadamu asiyejua kuwa kuna kifo na maandalizi ya maisha ya mtu ni yake mwenyewe tuache uwoga usiokuwa na maana, tutakukumbuka na kuyasema kwa yale uliyokuwa ukiyafanya enzi za uhai wako, mazuri yako tutayasifia na mabaya pia tutayasema na kuyalaani.
Ushauri wangu.
Wanasiasa wetu mmekuwa mkijisahau sana as if vifo haviwahusu nyie, please kila mmoja wenu ayatafakari maisha yake ya kisiasa na kujiuliza Je utakumbukwa kwa lipi??? Tumieni ndimi zenu vyema huku mkitambua kuwa kauli zenu zina impact kubwa sana kwa jamii.
KUMBUKENI KILA MMOJA HAPA DUNIANI ATAKUMBUKWA KWA STYLE YAKE.
THANKS
Ni hayo tu.

Khaa!! Kama katika nyie wote mliomsikia akimtuka mzee warioba na hakuna hata mmoja kati yenu aliyekuwa na akili kidogo tu ya kumfungulia kesi ya kutukana hadharani basi mjijue nyie ni dhaifu kwelikweli
Khaa!! Mimi si mwanasiasa. Mimi ni msemakweli, mchapakazi, mlipakodi na mpigakura. Simtetei marehemu na wala sina sababu ya kufanya hivyo. Ninapoona kuna sehemu kuna ujinga sifumbi macho ninajaribu kuuondoa ninaamini hili ni mpja ya majukumu yangu hapa duniani. Kwa uelewa wangu mtaji wa mwanasiasa ni kura. Na kura hutoka humuhumu tunapoishi. Hivyo you mHata mie sikubaliani nawe. Kuna kumsema vibaya marehemu (yaani kumsingizia mambo ambayo alikuwa hafanyi) na kumwelezea wasifu wa marehemu (yale ya kweli aliyokuwa anafanya) sasa hapa kinachofanywa ni kuelezea SIFA za marehemu Komba ambazo nyingi hazikuwa nzuri bali mbaya.
Kama ni kuwatia majonzi familia, wao ndio walipaswa kumweleza akiwa hai kuwa utendayo hayakubaliki kwenye jamii yaache na sio kuwa wasubiri afe kisha watake huruma kutoka kwa walioumizwa na marehemu. Hivi mzee Warioba akisimama hadharani na kusema marehemu alikuwa kiongozi safi sana na mfano wa kuigwa sii kila mtu atajua hizo ni kebehi? Hata hao ndugu zake na Komba na wenyewe watashangaa. Wanasiasa waache dharau wakiwa kwenye nafasi zao la sivyo wakifa watu wataongea tuu bila kujali kuna wanaojisikia vibaya wasikiapo maneno hayo.
Mkuu wengine wanatuita wauza juisi na hatuwezi kufanya chochote,wengine hudai milioni 10 hela ya mboga,wengine nyoka wa makengeza,bilioni kuitwa vijisenti,wengine walidai tutakula hata majani,wengine huita hela yetu'' hela hii ya madafu''kama kwamba si malikitu ,wanasiasa na viongozi wetu hujisahau sana na huo ubilionea wao wa kuwaibia wananchi wao.
Ni ukweli. ni unafiki kutoa sifa nzuri kwa marehemu, ambaye wakati wa uhai wake alikuwa fedhuli. alikuwa fedhuli akiwa hai na mpaka akifa aambiwe ufedhuli wake ili iwe fundisho kwa wengine. Mafedhulie wengine wajue kuwa Mungu hana upendeleo, akufisha kwa wakati usiojua, ni heri kuwa na amani na watu wote.
Khaa!! Ukilaza wangu uko wapi?? Hizo imani za ajabu ni zipi?? Elezea siyo kupayukapayuka tuWe jamaa ni kilaza sana aisee dah! Halafu una imani za ajabu sana.
Mmmmmh:thumbup:"Mzee Warioba ni shiiiiiiiiddeeeerrrrrrr atuache" hayo ndo yalikuwa maneno ya marehemu kapiteini
Wanabodi salamu kwenu,
Natanguliza kutoa pole kwa familia,ndugu, jamaa na Marafiki wa familia ya kapt Komba bila kuwasahau wananchi wa Mbinga ambao marehemu alishawakimbia muda mrefu anaishi dar Kwenye kiyoyozi muda wote leo wanapata mshtuko mkubwa kuambiwa mbunge wao amewatoka hakika ni majonzi makubwa sana.
Hapa nawalenga wanasiasa wetu, ni vema kila mwanasiasa akajitathmini, msisahau siasa ni Karama tulizogawiwa na M/Mungu kama zilivyo karama zingine.
Ndugu zangu Mwenyzi Mungu ametupa utashi wa kupambanua mambo tofauti na wanyama.....
Lakini pia mkumbuke kila mtu hapa duniani atakumbukwa tu Mara baada ya kututoka but style za kukumbukwa huwa zinatofautiana, either utakumbukwa kwa mabaya yako ulipokuwa hai au kwa mazuri yako.
Ndugu wanasiasa wengi wenu mmekuwa mkijisahau sana kwamba pia kuna maisha out of politics but ukweli ni kwamba wew kufa hakukuondolei ukweli wa yale uliyokuw ukiyafanya kipindi cha uhai wako.
Hapa ninachokilenga ni kwamba kifo cha Kapt Komba kimeibua hisia tofauti ndani ya jamii, wengi wamekuwa wakiona ni sahihi huyu Mzee kupunzika, wengine wakisema kauli zake zilikuwa za kuudhi na kutaka kuchafua nchi..... Lakini kundi la pili likidai watu kumsema marehemu siyo sahihi inajenga image mbaya kwa jamii....
Ukweli ni kwamba kifo isitumike kama mwavuli wa kuficha mabaya ya mtu, hii ni dalili ya uwoga watu kuogopa kuhukumiwa baadae huko ahera kwa kusema mabaya ya marehemu... Ukweli hauwezi kubadilishwa kwani hakuna binadamu asiyejua kuwa kuna kifo na maandalizi ya maisha ya mtu ni yake mwenyewe tuache uwoga usiokuwa na maana, tutakukumbuka na kuyasema kwa yale uliyokuwa ukiyafanya enzi za uhai wako, mazuri yako tutayasifia na mabaya pia tutayasema na kuyalaani.
Ushauri wangu.
Wanasiasa wetu mmekuwa mkijisahau sana as if vifo haviwahusu nyie, please kila mmoja wenu ayatafakari maisha yake ya kisiasa na kujiuliza Je utakumbukwa kwa lipi??? Tumieni ndimi zenu vyema huku mkitambua kuwa kauli zenu zina impact kubwa sana kwa jamii.
KUMBUKENI KILA MMOJA HAPA DUNIANI ATAKUMBUKWA KWA STYLE YAKE.
THANKS
Ni hayo tu.
Khaa!! Mimi si mwanasiasa. Mimi ni msemakweli, mchapakazi, mlipakodi na mpigakura. Simtetei marehemu na wala sina sababu ya kufanya hivyo. Ninapoona kuna sehemu kuna ujinga sifumbi macho ninajaribu kuuondoa ninaamini hili ni mpja ya majukumu yangu hapa duniani. Kwa uelewa wangu mtaji wa mwanasiasa ni kura. Na kura hutoka humuhumu tunapoishi. Hivyo you m
ke more friends ndivyo unavyoongeza kura zako na kinyume chake. Hivyo unavyowaumiza ndugu jamaa na marafiki huoni kama unaongeza enemies? Hivi unadhani JK alipotoka mbio kwenda kumuona ex wife wa Dr Slaa alipofanyiwa uhuni alikuwa mjinga?? Au Dr Slaa alipotaka kuhalalisha gongo hakufikiri?? Yote ni katika kutaka kumake more friends. Nitashangaa kama wazee wa Togo hawatakuja kubadilisha mwelekeo wa hili
Wenzenu wanatumia ujinga wenu huu huu mdogo kuwakalisha