Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

GJHariohay

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,041
Reaction score
1,161
Wanabodi salamu kwenu,

Natanguliza kutoa pole kwa familia,ndugu, jamaa na Marafiki wa familia ya kapt Komba bila kuwasahau wananchi wa Mbinga ambao marehemu alishawakimbia muda mrefu anaishi dar Kwenye kiyoyozi muda wote leo wanapata mshtuko mkubwa kuambiwa mbunge wao amewatoka hakika ni majonzi makubwa sana.

Hapa nawalenga wanasiasa wetu, ni vema kila mwanasiasa akajitathmini, msisahau siasa ni Karama tulizogawiwa na M/Mungu kama zilivyo karama zingine.

Ndugu zangu Mwenyzi Mungu ametupa utashi wa kupambanua mambo tofauti na wanyama.....
Lakini pia mkumbuke kila mtu hapa duniani atakumbukwa tu Mara baada ya kututoka but style za kukumbukwa huwa zinatofautiana, either utakumbukwa kwa mabaya yako ulipokuwa hai au kwa mazuri yako.

Ndugu wanasiasa wengi wenu mmekuwa mkijisahau sana kwamba pia kuna maisha out of politics but ukweli ni kwamba wew kufa hakukuondolei ukweli wa yale uliyokuw ukiyafanya kipindi cha uhai wako.

Hapa ninachokilenga ni kwamba kifo cha Kapt Komba kimeibua hisia tofauti ndani ya jamii, wengi wamekuwa wakiona ni sahihi huyu Mzee kupunzika, wengine wakisema kauli zake zilikuwa za kuudhi na kutaka kuchafua nchi..... Lakini kundi la pili likidai watu kumsema marehemu siyo sahihi inajenga image mbaya kwa jamii....

Ukweli ni kwamba kifo isitumike kama mwavuli wa kuficha mabaya ya mtu, hii ni dalili ya uwoga watu kuogopa kuhukumiwa baadae huko ahera kwa kusema mabaya ya marehemu... Ukweli hauwezi kubadilishwa kwani hakuna binadamu asiyejua kuwa kuna kifo na maandalizi ya maisha ya mtu ni yake mwenyewe tuache uwoga usiokuwa na maana, tutakukumbuka na kuyasema kwa yale uliyokuwa ukiyafanya enzi za uhai wako, mazuri yako tutayasifia na mabaya pia tutayasema na kuyalaani.

Ushauri wangu.

Wanasiasa wetu mmekuwa mkijisahau sana as if vifo haviwahusu nyie, please kila mmoja wenu ayatafakari maisha yake ya kisiasa na kujiuliza Je utakumbukwa kwa lipi??? Tumieni ndimi zenu vyema huku mkitambua kuwa kauli zenu zina impact kubwa sana kwa jamii.

KUMBUKENI KILA MMOJA HAPA DUNIANI ATAKUMBUKWA KWA STYLE YAKE.

THANKS
Ni hayo tu.
 
Ni ukweli. ni unafiki kutoa sifa nzuri kwa marehemu, ambaye wakati wa uhai wake alikuwa fedhuli. alikuwa fedhuli akiwa hai na mpaka akifa aambiwe ufedhuli wake ili iwe fundisho kwa wengine. Mafedhulie wengine wajue kuwa Mungu hana upendeleo, akufisha kwa wakati usiojua, ni heri kuwa na amani na watu wote.
 
Ni ukweli. ni unafiki kutoa sifa nzuri kwa marehemu, ambaye wakati wa uhai wake alikuwa fedhuli. alikuwa fedhuli akiwa hai na mpaka akifa aambiwe ufedhuli wake ili iwe fundisho kwa wengine. Mafedhulie wengine wajue kuwa Mungu hana upendeleo, akufisha kwa wakati usiojua, ni bora kuwa na amani na watu wote.

Tunachotaka ni kila mmoja wetu atambue ana wajibu wa kuyaandaa maisha yake ya hapa duniani hata ya ahera tusidanganyane et kwa sababu ni marehemu mabaya yake yageuzwe kuwa mazuri
 
Mimi niko bado najiuliza, Captain Komba aliwezaje kutunga nyimbo za kuombeleza kifo cha baba wa taifa ndani ya muda mfupi tu tangu kifo kitokee, au alikuwa ni mnajimu aliyetabiri kuwa Baba wa Taifa atakufa na akaanza kutunga nyimbo na kuifundisha band yake?? Looh, kafa kabla hajatupatia majibu ya swali la kitendawili hiki!!! Vile vile alisema atakwenda msituni, hakufafanua kama angeenda msituni kujificha ili katiba asiyoipenda kama itapitishwa, au kwenda msituni kuongoza mapambano ya kijeshi kutetea katiba anayoipenda. Looh, kafa kabla hajatupatia majibu ya swali la kitendawili hiki kingine!!!
 
huu ni muda wa kumfariji Lulu ambaye ni external mjane wa marehemu, hayo mabaya yake potezeeni kidogo!

Mhhh!! Ngoja nijaribu kuconnect DOTs LULU - KOMBA - kifo cha KANUMBA halafu tuliambiwa wakati KANUMBA anaaga dunia ndani kulikuwa na watu zaidi ya watatu naishia hapo mwenye akili ataelewa namaanisha nini.
 
Mimi niko bado najiuliza, Captain Komba aliwezaje kutunga nyimbo za kuombeleza kifo cha baba wa taifa ndani ya muda mfupi tu tangu kifo kitokee, au alikuwa ni mnajimu aliyetabiri kuwa Baba wa Taifa atakufa na akaanza kutunga nyimbo na kuifundisha band yake?? Looh, kafa kabla hajatupatia majibu ya swali la kitendawili hiki!!! Vile vile alisema atakwenda msituni, hakufafanua kama angeenda msituni kujificha ili katiba asiyoipenda kama itapitishwa, au kwenda msituni kuongoza mapambano ya kijeshi kutetea katiba anayoipenda. Looh, kafa kabla hajatupatia majibu ya swali la kitendawili hiki kingine!!!
Karibu sana mkuu , jadili kila kinachokutatiza juu ya hayati huyu tena bila wasiwasi wowote maana kifo hakijawahi kuwa kinga ya mijadala .
 
umeandika ukweli sana bila kumung'unya maneno hata chembe , safi sana , Mungu akubariki mkuu .

Utamaduni wa kubadilisha mabaya ya mtu kuwa mazuri muda wa kifo chake hauna maana pia ni udhalilishaji mkuu.

We should speak out the truth siku zote, hakuna kifo kisichomgusa binadamu hat kichaa akitutoka huwa inauma tu but isiwe kigezo cha kugeuza mabaya yake kuwa mazuri.
 
Mimi niko bado najiuliza, Captain Komba aliwezaje kutunga nyimbo za kuombeleza kifo cha baba wa taifa ndani ya muda mfupi tu tangu kifo kitokee, au alikuwa ni mnajimu aliyetabiri kuwa Baba wa Taifa atakufa na akaanza kutunga nyimbo na kuifundisha band yake?? Looh, kafa kabla hajatupatia majibu ya swali la kitendawili hiki!!! Vile vile alisema atakwenda msituni, hakufafanua kama angeenda msituni kujificha ili katiba asiyoipenda kama itapitishwa, au kwenda msituni kuongoza mapambano ya kijeshi kutetea katiba anayoipenda. Looh, kafa kabla hajatupatia majibu ya swali la kitendawili hiki kingine!!!

Kweli Komba amefariki na kutuachia maswali mengi kuliko majibu
 
Mimi huwa sipendi tabia za kinafiki eti kisa mtu kafa. Ni hivi kila mtu ana mtazamo wake, wewe kama umeona marehemu alichokuwa anafanya enzi za uhai wake msifie kwa mtazamo wako. Na yule aliyeona marehemu alikengeuka kwenye uhai wake anahaki ya kusema madhaifu yake ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo. Hakuna haja ya kulazimisha sifa na uzuri ambao si kila mtu aliiona au kuukubali.
 
Uko sahihi Mkuu! Safari ya kifo huanza mara tu mbegu ya kiume iunganapo na ya kike. So, suala la kifo sio suala la mjadala bali suala la muda tu; kwa wale wana-hisabati, death = f(time) where time is very unpredictable - hapa hakuna cha uzee, ujana, wala utoto - at any time (age) death is a sure event.

Kwa maana hiyo, mwanadamu (mwanasiasa) mwenye busara huchunga sana kauli zake akijua muda asiotarijia, kifo huja kama mwivi ajapo. Tuisjitungie sheria (Katiba) na kanuni nyingine za kulinda ka-kikundi ketu kana kwamba tutaishi milele humu duniani. Badala yake tufanye mambo kwa maslahi mapana ya taifa, kwa maslahi ya maskini walio wengi, kwa maslahi ya wananchi.

Hebu tuandae mabango yetu vizuri ili tuyabebapo wengine waone sifa njema kwenye mabango hayo ili ijapo siku ile tusiyoitajia wananchi watukumbuke kwa sifa nje badala ya kushukuru na kusema "afadhali". Hivi utapata faida gani kwa kuacha mabilioni ya ufisadi kwenye mabenki huku ukiondoka na sanda na jeneza tu wananchi wakishukuru kwa kuondoka kwako? Marehemu Komba alijaaliwa kipaji lakini kwa nyakati tofauti alitumia kipaji chake vibaya - hakuwa na sababu ya kuwatukana na kuwadharau wapinzani kiasi kile! Kwamba kama sio CCM wewe sio mtanzania!? CCM na wanasiasa wajifunzi siasa za staha na kuvumiliana

Kwamba Mzee Warioba na tume yake ni wazee wanaokaribia kufa hizo ni kauli za akina Komba, Ridhiwani, Paul Makonda, Kibajaji, na Nape. Kwa hakika Mungu akiamua mtatangulia wote mtawaacha wazee hawa; bahati nzuri wao wanalo bango lililo jema; ninyi mtapotea kama mbwa asiyekumbukwa tena baada ya kifo chake.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanasiasa wengi wenu mmekuwa mkijisahau sana kwamba pia kuna maisha out of politics but ukweli ni kwamba wew kufa hakukuondolei ukweli wa yale uliyokuw ukiyafanya kipindi cha uhai wako. Hapa ninachokilenga ni kwamba kifo cha Kapt Komba kimeibua hisia tofauti ndani ya jamii, wengi wamekuwa wakiona ni sahihi huyu Mzee kupunzika, wengine wakisema kauli zake zilikuwa za kuudhi na kutaka kuchafua nchi..... Lakini kundi la pili likidai watu kumsema marehemu siyo sahihi inajenga image mbaya kwa jamii.... Ukweli ni kwamba kifo isitumike kama mwavuli wa kuficha mabaya ya mtu, hii ni dalili ya uwoga watu kuogopa kuhukumiwa baadae huko ahera kwa kusema mabaya ya marehemu... Ukweli hauwezi kubadilishwa kwani hakuna binadamu asiyejua kuwa kuna kifo na maandalizi ya maisha ya mtu ni yake mwenyewe tuache uwoga usiokuwa na maana, tutakukumbuka na kuyasema kwa yale uliyokuwa ukiyafanya enzi za uhai wako, mazuri yako tutayasifia na mabaya pia tutayasema na kuyalaani. Ushauri wangu. Wanasiasa wetu mmekuwa mkijisahau sana as if vifo haviwahusu nyie, please kila mmoja wenu ayatafakari maisha yake ya kisiasa na kujiuliza Je utakumbukwa kwa lipi??? Tumieni ndimi zenu vyema huku mkitambua kuwa kauli zenu zina impact kubwa sana kwa jamii. KUMBUKENI KILA MMOJA HAPA DUNIANI ATAKUMBUKWA KWA STYLE YAKE. THANKS Ni hayo tu.
Mwanzoni mwa Utawala wa JK alipata kusema vizazi visije kuchapa viboko makaburi ya Watawala....hii ndio tafsiri yake!!! Hili ni funzo japo wanaambiwa kila siku makanisani na misikitini watubu, lakini wengi wao wamekataa sasa waanze kupima kuanzia msiba huu...What goes around must come around. Mungu ni Mkuu Na Kwa Mapenzi Yake Sasa Kauri Ya ''NIATINGIA MSITUNI'' IMEFIKA UKOMO NA TAIFA HALINA UNASABA TENA NA KAULI HIYO MBAYA KUPATWA KUSEMA NA KIONGOZI WA HAIBA HIYO YA UHAMASISHAJI [PROPAGANDA].
 
Mhhh!! Ngoja nijaribu kuconnect DOTs LULU - KOMBA - kifo cha KANUMBA halafu tuliambiwa wakati KANUMBA anaaga dunia ndani kulikuwa na watu zaidi ya watatu naishia hapo mwenye akili ataelewa namaanisha nini.

Mkuu fafanua acha woga, Komba kashakufa!
Wakati KANUMBA anaaga dunia ndani ..........
 
Mnataka huyu nanii, nanii huyu bhana, yaani akifa tusiseme upuuzi wake, yaani kwa hawa ma- DC, haki tena tutasema sana!
 
Wanabodi salamu kwenu,

Natanguliza kutoa pole kwa familia,ndugu, jamaa na Marafiki wa familia ya kapt Komba bila kuwasahau wananchi wa Mbinga ambao marehemu alishawakimbia muda mrefu anaishi dar Kwenye kiyoyozi muda wote leo wanapata mshtuko mkubwa kuambiwa mbunge wao amewatoka hakika ni majonzi makubwa sana.

Hapa nawalenga wanasiasa wetu, ni vema kila mwanasiasa akajitathmini, msisahau siasa ni Karama tulizogawiwa na M/Mungu kama zilivyo karama zingine.

Ndugu zangu Mwenyzi Mungu ametupa utashi wa kupambanua mambo tofauti na wanyama.....
Lakini pia mkumbuke kila mtu hapa duniani atakumbukwa tu Mara baada ya kututoka but style za kukumbukwa huwa zinatofautiana, either utakumbukwa kwa mabaya yako ulipokuwa hai au kwa mazuri yako.

Ndugu wanasiasa wengi wenu mmekuwa mkijisahau sana kwamba pia kuna maisha out of politics but ukweli ni kwamba wew kufa hakukuondolei ukweli wa yale uliyokuw ukiyafanya kipindi cha uhai wako.

Hapa ninachokilenga ni kwamba kifo cha Kapt Komba kimeibua hisia tofauti ndani ya jamii, wengi wamekuwa wakiona ni sahihi huyu Mzee kupunzika, wengine wakisema kauli zake zilikuwa za kuudhi na kutaka kuchafua nchi..... Lakini kundi la pili likidai watu kumsema marehemu siyo sahihi inajenga image mbaya kwa jamii....

Ukweli ni kwamba kifo isitumike kama mwavuli wa kuficha mabaya ya mtu, hii ni dalili ya uwoga watu kuogopa kuhukumiwa baadae huko ahera kwa kusema mabaya ya marehemu... Ukweli hauwezi kubadilishwa kwani hakuna binadamu asiyejua kuwa kuna kifo na maandalizi ya maisha ya mtu ni yake mwenyewe tuache uwoga usiokuwa na maana, tutakukumbuka na kuyasema kwa yale uliyokuwa ukiyafanya enzi za uhai wako, mazuri yako tutayasifia na mabaya pia tutayasema na kuyalaani.

Ushauri wangu.

Wanasiasa wetu mmekuwa mkijisahau sana as if vifo haviwahusu nyie, please kila mmoja wenu ayatafakari maisha yake ya kisiasa na kujiuliza Je utakumbukwa kwa lipi??? Tumieni ndimi zenu vyema huku mkitambua kuwa kauli zenu zina impact kubwa sana kwa jamii.

KUMBUKENI KILA MMOJA HAPA DUNIANI ATAKUMBUKWA KWA STYLE YAKE.

THANKS
Ni hayo tu.
Sijakuelewa bado, Ulikuwa unataka kusema nini?
 
Umeandika ukweli mtupu.Hawa viongozi wanajisahau sana kwa kutoa kauli utadhani wao si binadamu.

Mimi leo naomba niseme tu kuwa, mbunge mwenye busara na ambae huchagua nini cha kuongea ndani ya bunge ni mh.Mbowe.

Huyu mh. huwa hana jaziba,anaongea taratibu na kwa tahadhari kubwa huku akichunga ndimi zake.Simanishi huwa hakosei kama binadamu, but ukweli he is the best.

Ukipinga, pinga tu.

Hiki kifo kiwe fundisho.
 
Back
Top Bottom