Marehem hasemwi
Huo ugonjwa sio wakufanya wewe umsengenye
RIP
Sasa,kijinga cha moto kiwekwe pale nyuma kwa kazi ipi?Kazi ya kijinga cha moto kikiwekwa karibu na mwili wa mtu ni kuurudisha utumbo uliotoka baada ya ajali.Wewe unamaanisha nini ndugu yangu?Msisahau kumwekea kijinga cha moto pale nyuma si ni kataa ndoa?
Aisee pole sana..ila usimlaumu huwezi jua wanawake walimtenda nini..RIP brother 😭RIP Akili kubwa
Alifanya jambo la maana sana
Sasa hivi ingekuwa ameingiza idadi mpya ya watoto wa mitaani
Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Sawa,hata mimi nimekubali.Sasa, ndiyo utolewe ushauri wa kumuwekea kijinga cha moto jirani na mwili wake,kweli?Kifo kipo tu usiogope, sifa kuu ya kiumbe hai lazima kife.
Poleni, kataa ndoa wamepoteza jembe kweli kweli.Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Mkuu hapa si wanatusimanga kila siku kuhusu Sisi Ndoa Tamu? Kwanini sasa ionekane wao wanasimangwa? Acha na hisia za kijinga dawa ya Moto ni motoTufikishe ujumbe wa kuelimisha jamii bila kugeuza msiba wa mtu kuwa nafasi ya kuhukumu maisha yake.
Kama nia ni kuelimisha, hilo linawezekana kabisa kwa lugha yenye heshima na utu.
Marehemu hawezi tena kujitetea, lakini sisi tuliobaki tunaweza kuchagua kumheshimu.
Rest easy kwake!
Yeah hapo umeme kaachia wengi sana uswahili, na wanawake walivyo hawajali wala hawaulizi kupimaPoleni, kataa ndoa wamepoteza jembe kweli kweli.
Yaani Hadi 43 mwamba hakutetereka.
Ila akae panapostahili huko peponi maana kasambaza umeme Sana
Hili ndo nalisikia leo, elimu haina mwisho.Kazi ya kijinga cha moto kikiwekwa karibu na mwili wa mtu ni kuurudisha utumbo uliotoka baada ya ajali.
Hivi,mtu akifa anapumzika?Apumzike Kwa Amani
Labda kulingana na hoja za kimapokeo hua hivyoHivi,mtu akifa anapumzika?