Usiwekee maanani sana nilichokiandika.Yawezekana ni CMS zimeanza kufanya kazi kichwani mwangu mkuu.Hili ndo nalisikia leo, elimu haina mwisho.
Zilitaka kuniponza siku moja nilikaa nikawaza Jinsi ambayo nilikuwa nimeuza mechi kijinga Kinga nikapoteza matumaini ya maisha yanguNyege mbaya
Sasa,zile hekaheka za kuelekea mbinguni au motoni nani atamuachia?Labda kulingana na hoja za kimapokeo hua hivyo
Sawa,hata mimi nimekubali.Sasa, ndiyo utolewe ushauri wa kumuwekea kijinga cha moto jirani na mwili wake,kweli?
Halafu unapita kijiweni wana wanakazia lile goma kitambo lina umeme😃 una anza kuharisha na kutapika hata kama hauna , ukiona kipele tu unajua dude hiloZilitaka kuniponza siku moja nilikaa nikawaza Jinsi ambayo nilikuwa nimeuza mechi kijinga Kinga nikapoteza matumaini ya maisha yangu
Kuna kitabu niliwahi soma sikumbuki jina lake lakini kuna hoja moja inasema kua mtu anapopoteza uhai mda mchache baada ya mapigo ya moyo kusimama kwanza mhanga hupitia hatua fulani kama ya kitu ambacho kilishawahi kutokea nyuma au kwa lugha nyingine “unique situation where a victim seems to be familiar with” lakini haithibitishi kua n wanachopitia wapendwa wetu pindi wanapituachaLabda kulingana na hoja za kimapokeo hua hivyo
Sasa,zile hekaheka za kuelekea mbinguni au motoni nani atamuachia?
Hatujui Ingawa Mwendo AmeumalizaHivi,mtu akifa anapumzika?
Lakini,huwa kuna tetesi na ushuhuda wa kimaandiko ya imani.Life after death!Is that a myth?Hata kama ni myth, lazima ina origin and its causes.Hakuna ajuaye kwa usahihi kuhusu fumbo hilo maana hakuna aliyewahi kufariki akaja tena na uthibitisho sahihi wa moja kwa moja lakini ninahisi death it’s just a metamorphosis or just our physical body rest where our coffin is
Upo sahihi kwa maana lisemwalo lipo na kama halipo basi lajongea ninahisi ukifika wakati sahihi suala la kifo litajadiliwa na wanaadamu kufikia muafaka nini hutokea baada ya kifo,kwenye myths anciet Egypt walikua na mtazamo wao,wahindu hadi leo wanamtazamo wao,Wamongoli vilevile bila kusahau Waafrika pia tuna mitazamo yetu juu ya maisha baada ya kifoLakini,huwa kuna tetesi na ushuhuda wa kimaandiko ya imani.Life after death!Is that a myth?Hata kama ni myth, lazima ina origin and its causes.
Tuupe muda nafasi.Upo sahihi kwa maana lisemwalo lipo na kama halipo basi lajongea ninahisi ukifika wakati sahihi suala la kifo litajadiliwa na wanaadamu kufikia muafaka nini hutokea baada ya kifo,kwenye myths anciet Egypt walikua na mtazamo wao,wahindu hadi leo wanamtazamo wao,Wamongoli vilevile bila kusahau Waafrika pia tuna mitazamo yetu juu ya maisha baada ya kifo
Una ufala sana wewe ,unaanzisha uzi kumlamu kwa kutokuoa na kufa kwa umeme? hata wewe unaweza kuoa lakini usipate watoto na ukafa kwa umeme pia, you judging him too harshly acha ujinga you’re not immune eitherLeo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari