Kifo cha kaka kimenihuzunisha sana!!

Kifo cha kaka kimenihuzunisha sana!!

Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Kwa hiyo na yeye alikuwa ni Kaka Masai?
 
mwili tumeshaipeleka mochwari sasa tupo nyumbani tunaendelea na mipango ya mazishi
 
Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Eroiii pore rafiki
 
Husemekana maasai mna dawa ya umeme ndiyo maana bado mna tamaduni za kut*mbeana wake na hampukutiki.

NB:Ngoma ukileta ubishoo ukaacha dawa,ikirudi full light hutoboi!!😎
 
Jambo la kushukuru n kuondoka bila kuacha watoto mana kwa namna moja au nyingine wangeteseka, hvy maumivu yangekuwa mara mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom