Kifo cha kaka kimenihuzunisha sana!!

Kifo cha kaka kimenihuzunisha sana!!

Kaka maasai

Senior Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
104
Reaction score
256
Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
 
Pole sana.

Kilichokuuma haswa ni nini?
 
Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Sad!Kaka ametuacha na majonzi.RIP ,broda!
 
Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Pole kwa kuondokewa na kaka yako ndugu.
 
Poleni sana.

Kwa upande wangu mtu mzima (Hasa baba) akiondoka pasipo kuacha watoto huwa naona ni kheri ajaacha watoto. Watoto walio wengi wanaoachwa na mzazi/wazazi huwa wanapitia mateso katika ukuaji wao.
 
Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Kwahiyo umekuja kumsengenya marehemu?

Wenye ndoa si ndio hao wanauana Kwa risasi!!
 
Leo mida ya saa saba mchana kaka katangulia mbele ya haki.alikuwa ana umeme na alipuuza maagizo ya daktari. dsm kulimponza hadi leo ameondoka hana familia hata mtoto wa kusingizwa.yy alikuwa kataa ndoa klk wote. ameondoka akiwa na miaka 43.sasa tupo hapa tunamalizia hapa kulipa bili tuuchukue mwili mochari
Kataa Ndoa 0/ 3 Ndoa tamu
 
Ngwengwe ni noma at 43 unaondoka Tu, haina msaliamtume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom