Kifo cha jukwaa la celebrity

Unahangaika kutafuta umbea Kwa nguvu zote hakuna reward ya maana unapokea zaidi ya kufurahisha genge, mwisho wa siku mtu anaona ujinga huu ngoja nifanye mambo yangu, ishu nyingine lile jukwaa lilikaa kiumbea Sana kuwaongelea wasanii wa Bongo wakati ilitakiwa tuhame huko tujadili Celebrities wenye mafanikio ya kuigwa Kwa jamii (sio hawa wadangaji) jinsi walivyofika may be inaweza kuwa chachu Kwa vijana wa baadae, Yani ilibidi jukwaa libadili uelekeo na hata hivyo watz wanapenda Sana umbea ndio maana bila umbea jukwaa linakufa hasa umbea ule wa kuongelea mambo machafu.
 
Uyo pichani ndio warumi au niffer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…