Kifo cha jukwaa la celebrity

Ndio. Na kuna watu walikuelewa na wakajibu kabisa, ila post zao zinaonesha walijawa aibu na woga baada ya kuona post yako.
Kwanini mnajipa umuhimu kwenye maisha ya watu?
Yaani huyu bro Mshana Jr me simheshimu wala simdharau. Lakini "NAMUELEWA SANA".
Sorry heshima yako au dharau inapunguza au kuongeza nini kwenye maisha ya mtu 😁
Sasa ninachosema ni kwamba, watu wanavomchukulia ni tofauti na alivyo.
ufafiti wako ulichukua mda gani
na baada ya hapo ni faida gani na hasara umeziona /umezigundua
Yaani wanamchulia uzito sana, wakati ni wakawaida.
Kwanini unasema wanamchukulia mzito sana?
Una uhakika wanamchukulia mzito?
 
Huu ni wivu
 
Kwanini mnajipa umuhimu kwenye maisha ya watu?
....

Sorry heshima yako au dharau inapunguza au kuongeza nini kwenye maisha ya mtu
....

uTafiti wako ulichukua mda gani
na baada ya hapo ni faida gani na hasara umeziona /umezigundua
....

Kwanini unasema wanamchukulia mzito sana?
Una uhakika wanamchukulia mzito?
....

Kunaaa..
"Kumkosoa, kumsema, na kumuelezea". Au
"Kukosoa, kumsema na kuelezea".

Sasa me sijamkosoa. Pia, sijamsema. Ila nimeelezea kuhusu yeye kiujumla. Ndo maana nikasema simheshimu wala simdharau. Ila "NAMUELEWA SANA"

Unajua huwezi kumdharau mtu ambaye humuelewi... Pia huwezi kumheshimu mtu ambaye humuelewi... Kifupi kumheshimu na kumdharau mtu, kunakuja baada ya kumuelewa.
 
Hawez kukuelewa πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…