Kifo cha jukwaa la celebrity

Tangu juzi nimeamua kuwa mpenzi msomaji sitaandika tena iwe
Mapenzi
Ulozi
Chitchat nk
Ngoja niwekeze kwenye kuhubiri tuu😃
 
Huyo jamaa nilisha-mla block siku nyingi sana. Anachoandika siwezi kukiona. Nlimtumbumbukiza kwenye kapu la ignore list.
 
Huyo jamaa nilisha-mla block siku nyingi sana. Anachoandika siwezi kukiona. Nlimtumbumbukiza kwenye kapu la ignore list.
Miaka kama mitano nyuma kuna ID iliniandama mno kwa kila nilichopost .. Nikawa nishangaa sana.. Ikabidi niingie mzigoni ... Akaletwa tukaa kijiwe kimoja hivi kuna pub tukanywa tukala bila kunitambua kabisa
Kwakweli nilijisikia vibaya sana maana alikuwa kijana tu fulani mchovu
 
Ngoja nami nianze kukuandama ili nije kula bia.
 
Hizi sasa dharau🤣🤣
 
Dah! Apa Mbaga Jr uliandika ukiwa kwenye utulivu balaa.

Na ulichoandika hapa ni ukweli. Na huo ni ukweli na siwezi kungopa.
 
Kuna muda nilikuwa nataka kutumia, ila nilisita.

Ngoja tu niseme,
Umdhaniae ndiye, kumbe sio.
 
Mtu akiwa chawa wa Mshana hawezi kuelewa nilichoandika.
Ndio. Na kuna watu walikuelewa na wakajibu kabisa, ila post zao zinaonesha walijawa aibu na woga baada ya kuona post yako.

Yaani huyu bro Mshana Jr me simheshimu wala simdharau. Lakini "NAMUELEWA SANA".

Sasa ninachosema ni kwamba, watu wanavomchukulia ni tofauti na alivyo. Yaani wanamchulia uzito sana, wakati ni wakawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…