Kama ilivyo kwako Khantwe !!! Mshana Jr ni mmoja tuu.. Napenda kuiishi furaha yangu bila kuumiza au kuukwaza uumbaji mwingine!Ila Mshana unapenda kujiamulia mambo
Umerudi kule kule tena, inakuwaje nmchukie mtu nisiyemjua?Ila nikushauri tu watu hatufanani na Haiwezekani kabisa cha muhimu ukiona mtu huendani na mitazamo yake una muacha tu kuliko kuonesha chuki za wazi wazi
Yaishe mtupie ignore kama mada zake hazikubariki bye 👋Umerudi kule kule tena, inakuwaje nmchukie mtu nisiyemjua?
Siwez kumuweka ignore Mtu yeyote humu JF, huo n uzwazwa mwngnYaishe mtupie ignore kama mada zake hazikubariki bye 👋
Wasalimie🙏🙏🙏Siwez kumuweka ignore Mtu yeyote humu JF, huo n uzwazwa mwngn
GudubayiWasalimie🙏🙏🙏
Hee mbona kama nimechambwa 😁 ni utani tu ilikuwa... It's not that deepKama ilivyo kwako Khantwe !!! Mshana Jr ni mmoja tuu.. Napenda kuiishi furaha yangu bila kuumiza au kuukwaza uumbaji mwingine!
Sitaki kufeki life.. Napenda kuishi maisha yangu na hicho ni kitu muhimu kwangu kuliko vyote..!
Naweza kuppkea ushauri lakini mwamuzi wa mwisho nitabaki kuwa mimi😀 That's why napenda kujiamulia mambo yangu😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Weka humu 🗑️
Wewe ndio umechukulia serious🤣Don't take it serious😂
Shee acha kudanganya watu bwana, huna furaha.Kama ilivyo kwako Khantwe !!! Mshana Jr ni mmoja tuu.. Napenda kuiishi furaha yangu bila kuumiza au kuukwaza uumbaji mwingine!
Sitaki kufeki life.. Napenda kuishi maisha yangu na hicho ni kitu muhimu kwangu kuliko vyote..!
Naweza kuppkea ushauri lakini mwamuzi wa mwisho nitabaki kuwa mimi😀 That's why napenda kujiamulia mambo yangu😂