Ila Dad mbona kudorora🤣Kudorora
Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity
Una ugomvi na huyu baba ?Weka humu 🗑️
Kwann niwe na ugomvi na mtu nisiyemjua?Una ugomvi na huyu baba ?
Nimeuliza maana karibu kila mada anayoweka unaweka trash 🗑Kwann niwe na ugomvi na mtu nisiyemjua?
Hii picha ni Afrika hii hii au nchi za watu?Kudorora
Kudhoofika na hatimaye kupotea kwenye ulimwengu wa umaarufu wa wasanii wa wa mziki wa kisasa Tanganyika ndiko kulikosababisha mauti ya jukwaa la celebrity
Hili jukwaa kuna kipindi lilikuwa maarufu mno kiasi cha kuifunika vilivyo chitchat. Huku likiwa na magwiji wake kama marehemu warumi na nifer
Je marehemu anaweza kufufuka? Celebrity lilikufa natural death halikufutwa! Pengine kuna siku mzimu wake utarejeaView attachment 3587605
Una maana gn kusema kila mada yake?Nimeuliza maana karibu kila mada anayoweka unaweka trash 🗑
Ukiwa na maana ni hiyo mada ni takataka ?
Nyingi sikumbuki japo sio zoteUna maana gn kusema kila mada yake?
Umekutana na 🗑️ yangu kwenye mada zake ngapi?
Anyway, naiweka kwa ufupi kama ifuatavyo.Nyingi sikumbuki japo sio zote
Saikolojia ya "hater" inajikita zaidi katika matatizo ya ndani ya mtu anayechukia kuliko mitazamo ya mtu anayechukiwa.Una ugomvi na huyu baba ?
Ila Mshana unapenda kujiamulia mamboAu niweke hii?View attachment 3587625
Kisaikolojia, tunachokichukia kwa wengine mara nyingi ni kile tunachokiogopa au kukichukia ndani yetu wenyewe. Mtu anaweza kukuchukia kwa sababu unamiliki ujasiri au sifa ambazo yeye angependa kuwa nazo lakini hana uwezo wa kuzipata.Nimeuliza maana karibu kila mada anayoweka unaweka trash 🗑
Ukiwa na maana ni hiyo mada ni takataka ?
Et mizigo kama vile mzigo wa maana 🤣Mizigo ya hapahapa
Hater anaamini kuwa hustahili kile ulicho nacho. Anajiona yeye ndiye anayestahili mafanikio hayo zaidi yako, na hivyo huanza kutafuta makosa madogo ili kuhalalisha chuki yake😀Nyingi sikumbuki japo sio zote
Nimesema karibu kila mada
Sijasema mada zote mdogo wangu
Kumbe hii ndio sababu aisee noma sana SikujuaAnyway, naiweka kwa ufupi kama ifuatavyo.
Mshana ni mtu maarufu humu JF, ila watu wengi hawamueshimu bali wanamuogopa. Pia wapo wanaomuheshimu.
Mfano, mara nyingi jamaa hua ana-quote au ana copy and paste maneno Kutoka Kwenye Mada na kuyaweka kama comment yake (sio mbaya) ila tatizo linakuja kwamba watu wanakuja kufurahia paste aliyoifanya Mshana Na kuacha ya mtoa mada wakati pia wameisoma hy point kwenye mada.
Pia aina ya mada zake baadhi, mada hizo hizo ziliandikwa na wengine ni upuuzi ila ziliandikwa na Mshana bc pipoz mnajaa, tusiende Mbali, angalia tuu h mada, the compare Na heshima mnayompa Mshana.
N Sawa na msanii mkubwa anatoa mziki wa kipuuzi unaenda mbali mana n msanii mkubwa.
Siwez kuwa na chuki na yeyote Humu JF, siwezi kuwa na ugomvi na huyu mpare mwenzangu, kwanza tumetoka kijiji kimoja 😂 wote n wana kwangu,