Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,138
- 4,206
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.
Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?
Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.