Kifo cha hayati Magufuli kuwa moja ya ajenda kubwa uchaguzi 2025. CCM itapasuka na mengi yataibuka

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
 
Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Kovid 19? Ili hali tulijuzwa alikifa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Kila mbabe na mbabe wake shekhe, alipoasisi kikosi cha siri cha mauaji tulijuua haufiki mbali
 
Yani watu wasubiri 2025!!???? Watanzania hawahawa? Dhidi ya mtandao wa wanamjini? Yule mbunge aliye anza kubwabwaja saivi unamsikia?

Kfupi ccm wapo kimaslahi hakna atakaye ibuka na hoja ya mwanachato na hata akiibuka nani atamsikiliza?
 
acheni kuweweseka alishakufa basi imeisha,sokoine alipokufa watu kama wewe walizusha maneno yao, Nyerere alipokemea yakaisha,hata nyerere mwenyewe alipokufa watu walizusha tena kuhusu ugonjwa uliomchukua ikapita nothing changed. na hii nayo itapita hivyohivyo, nchi ina mambo mengi muhimu ya kufanya, kilimo chetu bado ni duni,hatuna mafuta ya kula, gharama za maisha zimepanda sana, n.k, n.k. halafu tuje tuanze kuhangaika kuhoji habari za wafu?!? tuache kuhoji yanayojiri kwa wanaoishi??!!?? HAKYAMUNGU TANZANIA!!!!!
 
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Huko ni kuanzisha ugomvi wa mawe huku ukijua upo jumbo la vioo. Sukuma Gang tutawauliza why mlimpelekea Makamu Tanga na PM nyanda za juu Kusini. Mtatuambia pia wakiwa huko ni nani aliyewaambia Malaika anachapa kazi na anawasalimia wananchi? Ol in ol, kusubiri ccm kusambaratika ni kama kusubiri mkono wa binandamu anayetembea uondoke.
 
Mwafrika haifi pasipo sababu, Mwenyekiti wa chama kwa wakati huu ndie mmiliki wa chama.
 
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
CCM ni imara sana, wala hilo haliwasumbui kabisa.
 
Ni maombi yangu Wapasuke, Tujue mbivu na mbichi.
 
Litapasuka tumbo lako tutaona mengi yaliyomo, mihogo unayoshindia,dagaaa, mlenda, na yale mengine
 
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
JPM ameshaondoka juu ya uso wa dunia. Hawezi tena kurudi ni kama Sokoine alivyopendwa halafu akaondoka na yeye.

Rais Samia akitaka aingie mioyoni mwa watu atekeleze yale yanayowagusa moja kwa moja, Uhai ni mfupi sana tukubaliane na ukweli huo.

JPM alikuwa na matatizo ya moyo kwa zaidi ya miaka kumi, kuweza kuishi muda wote huo na akaweza kutekeleza yote aliyoweza huo ni muujiza pia.

Turidhike na kile ambacho asili inatupa, kuhoji sana maamuzi magumu ya Mungu ni sawa na kumkufuru.
 
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Yaani kule kumuua tu Magufuli ili kutetea maslahi ya mabeberu, CCM imejilaani yenyewe
 
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale.

Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na kuhadaa umma wa watanzania?

Lakini kwa nini kuna rumours kuwa alikufa kwa Covid 19? Ili hali tulijuzwa alikufa kwa matatizo ya moyo?

Mwaka 2025 majukwaani kifo cha hayati JPM kitakuwa moja agenda muhimu. Na hii itakuwa ni agenda itayoipasua CCM kama ardhi iliyopasuliwa na tetemeko la ardhi.
Endelea kuoza na kuliwa na minyoo huko kaburini hata Yesu akirudi ushindwe kufufuka Magufuli. Tanzania haikutendewa haki kuwa na Rais mwizi, muuaji na mwongo kama Magufuli
 
Back
Top Bottom