Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Naam Kwa Mara Nyingine Tena, Hii Ni Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mzuri Zenye Kusisimua Kutoka Kwa EDGAR MBOGO Leo Nakuletea Simulizi Mpya Inayokwenda Kwa Jina La (KIFO CHA HAWARA (Mkono Wa Jini) Itakayo Kujia Hapa Hapa JamiiForums Mwanzo Mwisho, Hii Sio Ya Kukosa, Na Kama Ulipitwa Na Simulizi Zilizotangulia Basi Utazipata Kupitia Kiunganishi Hiki
👇
1) NYUMA YA MLANGO WA ADUI
Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui | JamiiForums Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

2)ASALI HAITIWI KIDOLE
Thread 'SIMULIZI: Asali haitiwi kidole' SIMULIZI: Asali haitiwi kidole
3) TEMBELE LA UWANI
SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO) | JamiiForums SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Sapoti Yako Inahitajika Kwa Mtunzi Ili Kumpa Moyo Na Kumpa Hamasa Ya Kuboresha Na Kukuza Kipaji Chake Atuburudishe Zaidi, Kama Una Lolote Iwe Ushauri Au Maoni Au Hata Mchango Wa Bando Au Kifuta Jasho Basi Mawasiliano Yake Ni Haya
+255 743 632 247
Tuwe Pamoja Hadi Mwisho...
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ukitoa wizara ya tamisemi, wizara ya TRA na Wizara ya Ulinzi
 
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Kijana mpole Mani Fabian nakauka koo kwa kukuita,au ndo dada jini amesha kukausha damu km abdulqadir Amer🤣🤣🤣
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Habari ya jpilii bandugu,
Jamani wabongo na mpira kazi ipo. Mda huo tunasubiria jamaa alete mambo huku sikia hii.
Jana kuna mshkaji wangu ni mwislam kidini nimekutana nae mtaani japo alikua upande wa pili wa barabara bas bwana nkamsalimia "idd mubarak" alichonijibu ni eti "HATUCHEZII" yan had mda huu simuelewi. ngoja ninywe maji sacrament imekwama juu ya mdomoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom