miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Kwenye iki kifo cha hawara mm ni team dada jini🤣🤣🤣
mnyonya damu au mnyonya nini?Kwenye iki kifo cha hawara mm ni team dada jini🤣🤣🤣
Nawahi nafasi🤣🤣🤣🤣🤣 mbona mapema?
Vyote kwa pamoja🤣🤣🤣mnyonya damu au mnyonya nini?
Niko tayari uninyonyeVyote kwa pamoja🤣🤣🤣
Mm hua napenda damu ya wanaume wenye ma govi🤣🤣🤣Niko tayari uninyonye
nitaenda kulirudishaMm hua napenda damu ya wanaume wenye ma govi🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣nitaenda kulirudisha
Mwanzo hua hazielewekii ila baada ya muda zinaanza kunogaYani story ikiwa inaanza bana inaboaaa...kama ile ya tembele niliiachaga kuja kuendelea du kumbe nzuri hatari..ngoja niendeleee na hii
Sure...tuwe tu wavumilivuMwanzo hua hazielewekii ila baada ya muda zinaanza kunoga
una shida gani mkuu? nini kimepungua au kuongezeka kwenye kichwa chakoHabiri Gani wadau,
Nasikitika sana kuwataarifu kuwa kwa sasa kichwa changu hakipo sawa.
naamini one day ntampata tu
nimeamini ufisadi hautaishaNchi ya chukua chako mapema hii hahaha miana amor sio mali ya umma
Unaishaje km wenyekiti wanajilimbikizia mali🤣🤣nimeamini ufisadi hautaisha