Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 654
- 1,305
Hii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
Utakufa wewe na kuiacha Mwananchi.
namtakia r.i.p in advanceUtakufa wewe na kuiacha Mwananchi.
Hii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
View attachment 3561365
MMILIKI WA HIZI MALI NDIYO KANUNUA VYOMBO VYA HABARI NA MAKAMPUNI YA SIMU NA NDIYO ANAYE TOA CODE ZA KUWAPOTEZA NA KUWAUA WATANGANYIKA WAZALENDO KWA KUPITIA MAKAMPUNI YAKE YA SIMU.Hii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
View attachment 3561365
Kwishney..!Hii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
View attachment 3561365
Ile kazi ya 2b bado inaendelea,hatujapoa hatupoi hadi tuamue kupoa!Hii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
View attachment 3561365
Shida wewe kwa umri wako na ulichoandika hapa unaonekana hulijui vizuri hilo gazeti enzi zake lilivyokuwa active kwenye mambo ya msingi.Utakufa wewe na kuiacha Mwananchi.
Wala hakuna haja ya kujibishana wa wajinga kama huyo. Chema chajiuza, kibaya chajitembeza. Katika vitu ambavyo unavuna unachopanda basi ni media.Shida wewe kwa umri wako na ulichoandika hapa unaonekana hulijui vizuri hilo gazeti enzi zake lilivyokuwa active kwenye mambo ya msingi.
Hata hivyo post #5 ya member Watu8 imenipa mwanga kidogo kwamba wasingeweka habari hiyo ni habari gani nyengine ya maana ingewekwa?
Wewe mpuuzi hutambui kuwa kifo cha gazeti kinaambatana na watu kupoteza ajira? Kufurahia anguko za gazeti kama Mwananchi ni kitu chema huko kwenu CHADEMA?Majitu ya Samia yanataka watu wafe tu. Mna shida gani? Jamaa kaongerea gazeti, wewe unazungumzia damu. Ni hatari sana. Kwa nini unamtakia mwenzio kifo. Why usiseme shughuli zake zitakufa kabla ya gazeti la mwananchi kufa
Hawa watu wana roho mbaya sana. Mtu anafurahia kifo cha kampuni kubwa kama Mwananchi bila kujali kuwa kuna familia nyingi zitaangamia kwa bread winners wao kupoteza ajira. Mungu atuepushe na hawa wajaa laana wanaojiita CHADEMA.namtakia r.i.p in advance
Wewe ni mama yangu hadi ujifanye unaujua umri wangu? Pumbavu sana. Mimi ni msomaji mkubwa wa magazeti kabla hata ya Mwananchi. Nilikuwa nasoma sana Majira, Rai, Taifa leo (gazeti la Kenya) na gazeti la Kasheshe nilipenda sana katuni zake.Shida wewe kwa umri wako na ulichoandika hapa unaonekana hulijui vizuri hilo gazeti enzi zake lilivyokuwa active kwenye mambo ya msingi.
Hata hivyo post #5 ya member Watu8 imenipa mwanga kidogo kwamba wasingeweka habari hiyo ni habari gani nyengine ya maana ingewekwa?
Jikute saaa hz,Utakufa wewe na kuiacha Mwananchi.
Gazeti lenyewe lisha kuwa CHAWA, acha life shenzi maviHii ndiyo habari kubwa katika Gazeti la Mwananchi baada ya kununuliwa na Bilionea Muua Vyombo vya Habari, Rostam Aziz. Kilitarajiwa kifo lakini siyo mapema hivi
View attachment 3561365
Usamehewe bure! Yaani ajira ni zaidi ya uhai. Damu ya mtu ni zaidi ya ajira na gazeti. Kuna njia nyingi sana za kuua, kuuwa kwa maneno au kuuwa kwa kupiga etc. Wewe si mtu mzuri hata kidogo. Wewe ni mtekaji. Utajibu siku moja mbele ya Mungu ukiwa hauna gazeti lako au nguo. Nimesikitika tuna watu kama wewe kwenye jamii.Wewe mpuuzi hutambui kuwa kifo cha gazeti kinaambatana na watu kupoteza ajira? Kufurahia anguko za gazeti kama Mwananchi ni kitu chema huko kwenu CHADEMA?
Sasa kama kampuni yenyewe inajiua na inajua kuwa inakufa huyo yeye atafanyaje zaidi ya kutoa taarifa kwamba inakufa ili hizo familia unazozionea huruma zitafute marisho mapya.Hawa watu wana roho mbaya sana. Mtu anafurahia kifo cha kampuni kubwa kama Mwananchi bila kujali kuwa kuna familia nyingi zitaangamia kwa bread winners wao kupoteza ajira. Mungu atuepushe na hawa wajaa laana wanaojiita CHADEMA.