Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Si uvunje masharti tu
 
Naona unafanya promo watu waanze kufurika kwenda huko Kigoma na Congo kupata tiba ya kidono kama walivyoenda Loliondo kwa babu
 
Tupe uzoefu wako mkuu maana jina tu linaonyesha naww ni wakwetu.
Tupe elimu boss
Tena anatokea kulekule kwa washurikina babu anakutongoza mchana unamkataa, usiku anakuja anajilia vyake kiulainiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] kesho yake anakuuliza" ulikuwa unalinga nn sasa?! Kumbe kushachoka hukoo
 
We ni mjukuu Wa biti likungu ?![emoji23]
 
Wewe bila shaka unatokea Kigoma
 
Ze comedy show[emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…