Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,089
- 3,934
Wakuu hivi hizi zimeanza mjini zinaitwa lika store ni kitu gani? Ni bar, grocery au maduka ya kuuza pombe kali?
Ni liquor store hivo hivo tu.Ni bar, grocery au maduka ya kuuza pombe kali?
Huku nilipo ndiyo zimeanza kuja kuja. Sijazisoma bado. Pia kuna hizi lounge!! Tunachanganyana sana.Mbona upo nyuma ya wakati, kwani umetoka jela? Hilo ni duka la pombe tu.
Kumbe!! Nilikuwa najiuliza mbona grocery store ni maduka ya bidhaa za nyumbani, inakuwaje sehemu wanauza pombe wanaita grocery! Umenipa elimu.bongo zamani wanachukua leseni ya duka, wanaliita grocery na walitakiwa kuuza pombe za kuchukua nyumbani wakaaanza kupanga viti na kuuzia hapo hapo, mpaka serikali ikaingilia kupiga marufuku sababu zilikuwa ndani ya makaazi ya watu na kujaza walevi.
Mara wakaanza kuita Pub, na leo hii hizi liquor store ilitakiwa kuchukua pombe kwenda nyumbani lakini bado wanapanga viti nje kujaza walevi
Upo mkoa ganiKumbe!! Nilikuwa najiuliza mbona grocery store ni maduka ya bidhaa za nyumbani, inakuwaje sehemu wanauza pombe wanaita grocery! Umenipa elimu.
Tafuta dictionaryHuku nilipo ndiyo zimeanza kuja kuja. Sijazisoma bado. Pia kuna hizi lounge!! Tunachanganyana sana.
Maeneo ya Ipole huku Sikonge.Upo mkoa gani
kuuliza sio ujingaaisee swali gani la kitoto hivi ambalo hata mtoto wa form 2 anajua jibu lake...labda kama una hoja nyingine iseme ila sio kuuliza liqour store ni nini?ni sawa na mtu akuulize duka la sapre za pikipiki ni kitu gani?
We unashangaa liquor store kuwa kama bar huku mtaani Kuna duka la mangi Lina pombe zote unazotaka mpaka za kupimakuuliza sio ujinga
hasa ukizingatia hizo liquor store zimegeuzwa kuwa kama bar na wateja wanakaa hapo na kunywa huku ni kinyume na sheria za leseni ya liquor store
Huwaga na bei kitonga sana ni kama duka la jumla kwaiyo wengi wanakaa hapo ni kitonga cha bei kuliko barkuuliza sio ujinga
hasa ukizingatia hizo liquor store zimegeuzwa kuwa kama bar na wateja wanakaa hapo na kunywa huku ni kinyume na sheria za leseni ya liquor store
Si ajabu hata wewe hujui liquor store ni kitu gani(in practical terms)?aisee swali gani la kitoto hivi ambalo hata mtoto wa form 2 anajua jibu lake...labda kama una hoja nyingine iseme ila sio kuuliza liqour store ni nini?ni sawa na mtu akuulize duka la sapre za pikipiki ni kitu gani?