Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL

Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.

Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.

Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.

Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.

Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.

Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.

Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.

Hormuz bado.

Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.

Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.

Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.

Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.

Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.

Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.

In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
Taarifa hii imeletwa kwenu na muarabu wa Buza.
 
Angalia na wewe unaharibu sasa, unaposema "KIBRI" unamaanisha nini? Hilo neno halipo kwenye Kiswahili, Pia acha mambo ya kuweka UDINI ambao hauna faida, Ndiyo Iran ni waislaam, lakini hao majirani zake pia ni waislaam lakini wanapigana nao pia, ungeongelea umoja wa nchi za KIISLAAM dhidi ya ISRAEL ningekuelewa. Kuna haja gani ya Saudi Arabia itake Iran iangamizwe???? Kuna haja gani ya hizo nchi zote za KIISLAAM kama Saudia, Qatar, Kuwait, Bahrain, UAE, na Oman zitake Iran ambao ni waislaam wenzao ambao wanaamini mtume mmoja Muhammad S.A.W wawe na chuki na Iran? Kuna shida kwenye dini yenyewe, hakuna umoja, ni vita tu na wivu umejaa. Angalia sasa hivi kuna shida kati ya Saudi Arabia vs UAE, Saudi Arabia vs Qatar na UAE vs Qatar. Shida ipo wapi???? Angalau hao Iran ni vidume, wameweza kuwamudu hao WAISRAEL na Wamarekani, na wanawatetea Wapalestina......Lakini hao wengine wapo wabinafsi tu.
Tatizo lote hilo haliwezi kwisha hadi hao mbumbumbu aidha waondolewe madarakani kwa jinsi ya kama Arab Springs nyingine, au nchi nyingine inayoonekana ina nguvu iwe HAGEMONY of the Arab world, na hawa si wengine bali ni EGYPTIANS, wengine wote ni MAEMBE MABOVU, ndiyo maana waisrael wanatamba,kwa sababu hakuna umoja wa waarabu na waislaam, Indonesia ina uwezo imekaa pembeni, Turkey pia. Waarabu wataendelea kuonewa na watu wapenda vita kama Waisrael, huku wakiwa wamenyamaza, Iran ameonyesha mfano.....Nani ana nguvu ya kufuata?
 
Lakini mawahabi si wanasema Shia ni makafiri na uislamu wa shia sio na haufai

Inakuwaje Leo shia ndio wanaonekana waislamu halisia na sio Alhu Sunna waljamaa?

Au kwako shia sio makafiri?
Hamis77,
Hakuna fatwa iliyotolewa ulimwenguni kuwa Shia si Waislamu.

Ndiyo maana unaona Shia wanaingia Makka na Madina kutimiza nguzo ya Hijja.
 
Angalia na wewe unaharibu sasa, unaposema "KIBRI" unamaanisha nini? Hilo neno halipo kwenye Kiswahili, Pia acha mambo ya kuweka UDINI ambao hauna faida, Ndiyo Iran ni waislaam, lakini hao majirani zake pia ni waislaam lakini wanapigana nao pia, ungeongelea umoja wa nchi za KIISLAAM dhidi ya ISRAEL ningekuelewa. Kuna haja gani ya Saudi Arabia itake Iran iangamizwe???? Kuna haja gani ya hizo nchi zote za KIISLAAM kama Saudia, Qatar, Kuwait, Bahrain, UAE, na Oman zitake Iran ambao ni waislaam wenzao ambao wanaamini mtume mmoja Muhammad S.A.W wawe na chuki na Iran? Kuna shida kwenye dini yenyewe, hakuna umoja, ni vita tu na wivu umejaa. Angalia sasa hivi kuna shida kati ya Saudi Arabia vs UAE, Saudi Arabia vs Qatar na UAE vs Qatar. Shida ipo wapi???? Angalau hao Iran ni vidume, wameweza kuwamudu hao WAISRAEL na Wamarekani, na wanawatetea Wapalestina......Lakini hao wengine wapo wabinafsi tu.
Tatizo lote hilo haliwezi kwisha hadi hao mbumbumbu aidha waondolewe madarakani kwa jinsi ya kama Arab Springs nyingine, au nchi nyingine inayoonekana ina nguvu iwe HAGEMONY of the Arab world, na hawa si wengine bali ni EGYPTIANS, wengine wote ni MAEMBE MABOVU, ndiyo maana waisrael wanatamba,kwa sababu hakuna umoja wa waarabu na waislaam, Indonesia ina uwezo imekaa pembeni, Turkey pia. Waarabu wataendelea kuonewa na watu wapenda vita kama Waisrael, huku wakiwa wamenyamaza, Iran ameonyesha mfano.....Nani ana nguvu ya kufuata?
Field Marshall,
Maneno ya kufikirisha na yote ya naeleweka na yana majibu.

Kueleza kwa nini hali imekuwa hivyo inataka wasaa.
 
Hadi wazee mnakuwa mashabiki namna hii? Ni hatari sana mtu akiwa mlevi wa dini
Bezo kuna kitabu cha The Fate of Empires, hichi kitabu kimeandikwa na John Bagot Glubb, ameeleza kwenye kitabu hicho jinsi mataifa yanavyoanguka.
Glubb anasema karibu dola zote hupitia hatua hizi:
  1. Age of Pioneers (Waanzilishi)
  2. Age of Conquests (Ushindi)
  3. Age of Commerce (Biashara)
  4. Age of Affluence (Utajiri)
  5. Age of Intellect (Elimu na fikra)
  6. Age of Decadence (Uozo)
Kutokana na Glubb anasema dola nyingi hudumu takribani miaka 250 (vizazi 10)
(USA mnamo July 4 2026 itatimiza miaka 250).

Hatua ya mwisho huwa decadence, yenye dalili kama:
  • Anasa na kupenda starehe kupita kiasi
  • Kushuka kwa maadili
  • Migawanyiko ya kijamii
  • Watu kupoteza sense ya wajibu
  • Kuongezeka kwa maneno kuliko vitendo (intellectualism without action)
Ukiangali utaona haya ni mambo yanayoendelea kule USA.

Naogopa kuwa Trump asije kuwa kama Mikhail Gorbachev wa USSR.

​

Permanides,
Kitabu cha Dr. Ghassany si maoni ni kazi ya kitafiti.

Karume ndiye kinara wa mapinduzi ndiyo maana akachaguliwa kuiongoza Zanzibar kupitia Baraza la Mapinduzi.
Sio kila utafiti ni sahihi. Je hiki kitabu kimemtaja Karume kama kiongozi wa hayo mapinduzi?. Na kama unasema ni kinara kwa sababu baadae alikuwa kiongozi, kwa hiyo same reasoning isitumike kwa Nyerere?
 
Hamis77,
Hakuna fatwa iliyotolewa ulimwenguni kuwa Shia si Waislamu.

Ndiyo maana unaona Shia wanaingia Makka na Madina kutimiza nguzo ya Hijja.
Kwahiyo unakubaliana na madhehebu yote ya Uislamu kuwa ni waislamu?

Unazungumziaje masheikh hapa Tanzania kuwaita shia ni makafiri na hawafai kuitwa waislamu?
 
BigBro,
Natoa jibu kwako pamoja na wachangiaji wengine hapa ambao inaelekea wanataabishwa na Uislamu.

Hili ni tatizo kubwa na tunalo nchini kwa miaka mingi kuanzia pale Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961.

Nitaweka mfano hapa.
Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika inaanza mwaka wa 1929 ilipoundwa African Association.

Waasisi wa chama hiki ni Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.

Hapa kuna Waislam sita na Wakristo watatu.

Sitaki kuongeza mengi katika historia hii.

Walipokuja kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kama mlivyokuwa nyinyi wao halikadhalika walitaabishwa na majina haya ya waasisi wa harakati za uhuru kuwa yametawala majina ya Waislamu.

Majina haya yakafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hayapo popote katika vitabu vya historia yetu.

Sishangai kuona nashambuliwa kwa kuutaja Uislamu hapa.
Mzee Said, hao Wakristo watatu ni wakina nani? Na hao Waislamu 6 ndio ni nani na nani?

Vv
 
Bezo kuna kitabu cha The Fate of Empires, hichi kitabu kimeandikwa na John Bagot Glubb, ameeleza kwenye kitabu hicho jinsi mataifa yanavyoanguka.
Glubb anasema karibu dola zote hupitia hatua hizi:
  1. Age of Pioneers (Waanzilishi)
  2. Age of Conquests (Ushindi)
  3. Age of Commerce (Biashara)
  4. Age of Affluence (Utajiri)
  5. Age of Intellect (Elimu na fikra)
  6. Age of Decadence (Uozo)
Kutokana na Glubb anasema dola nyingi hudumu takribani miaka 250 (vizazi 10)
(USA mnamo July 4 2026 itatimiza miaka 250).

Hatua ya mwisho huwa decadence, yenye dalili kama:
  • Anasa na kupenda starehe kupita kiasi
  • Kushuka kwa maadili
  • Migawanyiko ya kijamii
  • Watu kupoteza sense ya wajibu
  • Kuongezeka kwa maneno kuliko vitendo (intellectualism without action)
Ukiangali utaona haya ni mambo yanayoendelea kule USA.

Naogopa kuwa Trump asije kuwa kama Mikhail Gorbachev wa USSR.
Mzee Said, hao Wakristo watatu ni wakina nani? Na hao Waislamu 6 ndio ni nani na nani?

Vv
VV,
Cecil Matola
Rawkes Kussi
Rawson Watts

Kleist Sykes
Mzee bin Sudi
Ali Said Mpima
Ibrahim Hamisi
Zibe Kidasi
Suleiman Majisu
 
Bezo kuna kitabu cha The Fate of Empires, hichi kitabu kimeandikwa na John Bagot Glubb, ameeleza kwenye kitabu hicho jinsi mataifa yanavyoanguka.
Glubb anasema karibu dola zote hupitia hatua hizi:
  1. Age of Pioneers (Waanzilishi)
  2. Age of Conquests (Ushindi)
  3. Age of Commerce (Biashara)
  4. Age of Affluence (Utajiri)
  5. Age of Intellect (Elimu na fikra)
  6. Age of Decadence (Uozo)
Kutokana na Glubb anasema dola nyingi hudumu takribani miaka 250 (vizazi 10)
(USA mnamo July 4 2026 itatimiza miaka 250).

Hatua ya mwisho huwa decadence, yenye dalili kama:
  • Anasa na kupenda starehe kupita kiasi
  • Kushuka kwa maadili
  • Migawanyiko ya kijamii
  • Watu kupoteza sense ya wajibu
  • Kuongezeka kwa maneno kuliko vitendo (intellectualism without action)
Ukiangali utaona haya ni mambo yanayoendelea kule USA.

Naogopa kuwa Trump asije kuwa kama Mikhail Gorbachev wa USSR.

Very educative. Thank you.​

Maneno mazito sana.
 
Mwana. ..
Sijapatapo kufeli katika historia hii.

Nimealikwa Northwestern University, Evanston, Chicago, University of Iowa, Iowa City kwa kutaja vyuo vichache.

Nimepokea nishani nne.
Congratulations, Mohamed. When I read your article, the ideas are straightforward, and your calm suggests you are at another level. That is great to have vast experience across the Midwest. Congrats. Keep it up.
 
FM,
Ahsante ndugu yangu.
 
FM,
Ahsante ndugu yangu.
Uhodari wa Iran ni upi wakati Israel imewaua zaidi ya viongozi 40 akiwemo Ayatollah Khomenei aliyekufa kiaibu kwa kufukuliwa ndani ya kifusi ? unawezaje kupambana na nchi inayokuzidi mbinu kwenye uwanja wa mapambano ujione una umahiri ?
 
Back
Top Bottom