Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆
Inaonesha hata huko madrasa ulikuwa unakula sana fimbo, au ni katika harakati zile zile za uislamu kutumia uongo ,2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁
Nakupa shule ambayo madrasa huwezi kupewa3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
Halafu inaonekana unafanya judgment ya kusema fulani ni muislamu na fulani ni mkristo kwa kuangalia majina.Permanides,
Umeaminishwa kuwa Okello ni shujaa wa mapinduzi ya Zanzibar na umeamini.
Ukweli ni tofauti.
Hujaelezwa mchango wa Mwalimu Nyerere, Oscar Kambona na Kassim Hanga.
Hujaelezwa mchango wa Wamakonde wafanyakazi shamba la mkonge la Sakura kutoka Kipumbwi waliovushwa kwenda Zanzibar kushiriki katika mapinduzi.
Kiongozi wa hawa Wamakonde alikuwa Victor Mkello.
Majina haya hujayasikia katika historia ya mapinduzi ya Zanzibar.
Kaa chini kitako tuliza ubongo wako na uisome historia ya Zanzibar na mapinduzi katika kitabu cha Dr. Harith Ghassany: "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).
Kitabu hiki unakisoma bure mtandaoni.
Mohamed Said: DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU" DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU"
Basi ungetambua kuwa Hii sio vita ya kidini kwanza Iran lengo lao jingine nyuma ya pazia ni kuiteka mecca na MadinaHamis77,
Nafahamu mengi katika Uislamu na nimefika hadi Iran.
Halikadhalika nimefika nchi nyingi za Kiarabu na nimefika Marekani pia.
Katika mizunguko hii nimejifunza mengi.
Apo tu ndo kaharibu uzi"Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo."
Kumbe hii ni vita ya kidini? Wamatumbi bhna🚮🚮🚮
Hapo kaingiza hisia zake binafsiApo tu ndo kaharibu uzi
Watu8,Kwa mantiki hiyo mzee wangu hii ninvita isiyo na masalahi ya kiimani bali maslahi mengine tu...
Kwa sababu hata tukisema tugusie imani, Israel wao si mashahidi wa Ukristo bali imani zao za Kiyahudi na USA naye ndio kwenye imani alishachanganyikiwa hana hata imani imfaayo...
Sorry, achana na hilo...basi elewa hayo mengine niliyokuandikiaKubwig,
Mimi si sheikh.
Sina elimu hiyo.
Naliweka hili wazi ili unifahamu.
Lamborghini,Apo tu ndo kaharibu uzi
Blue...Ni fikra zako sawa, lakini Ni fikra chonganishi (kupandikiza udini Ndani yake). Ukiingiza udini utaua moral ya watetea haki ambao Wako neutral, wanachojua ni kupinga dhulma na uonevu dhidi ya binadamu aliye huru. Watetea haki, mahala popote duniani, hawapiganii haki dhidi ya uislam (kustawi kwa uislam) Bali haki kwa binadamu yoyote Yule dhidi ya uonevu unaofanywa na wazurumaji WA haki (ikiwemo haki ya kuabudu).
Wewe umehusisha moja kwa moja na uislam kana kwamba sasa tuanze kuamini kwamba US-ISRAEL inapigana na Waislam waliopo Iran.
Je, Ni kweli Marekani anapigana na Waislam wa Iran? Je, Ni kweli vita ni ya kidini?
Scars,Halafu inaonekana unafanya judgment ya kusema fulani ni muislamu na fulani ni mkristo kwa kuangalia majina.
Mbeya wapo wakina Sudi, Latifa, Zuberi, Mohamed, Abdallah ambao ni wakristo. Na pia wapo Kina Michael, Neema, Kelvin ambao ni waislamu.
Nadhani swala la kusm=ema fulani ni mkristo au Muislam lisiangaliwe tu kwa asili ya jina lake. Wengine ni Atheists usisahau hilo.
Kubwig,Sorry, achana na hilo...basi elewa hayo mengine niliyokuandikia
AP,asalam alyekum Maalim Mohd said.
Kwakweli mtoa mada ni mlevi wa dini, siyo siri.Hadi wazee mnakuwa mashabiki namna hii? Ni hatari sana mtu akiwa mlevi wa dini
Wabongo unaowazungumzia ni objective, hawazingatii mambo ya dini3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
Duh,Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislamu wa Tanganyika) 1933.
African Association na Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika pamoja vikawa vyama vilivyokuwa vilishirikiana katika kukabili ukoloni wa Muingereza.
KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.
Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.
Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.
Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.
Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.
Hormuz bado.
Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.
Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.
Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.
Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.
Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.
Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.
In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
Duh,
Na wewe ukaamini kuwa kikundi cha dini moja chenye wafuasi wachache tu ukilinganisha na wale wa dini zingine zote + wapagani, kingeweza kupigana na kukomboa nchi chenyewe?
Ukitaka kuwa mchambuzi wa kuaminika jitahidi kuwa neutral. Kamisaa wa timu mojawapo kwenye mchezo hawezi kuwa Refa.
Ukiacha Wairan wa Tandale kwa Tumbo, Msikilize mu-iran halisi hapa anavyosema kuhusu serikali yao..
View: https://youtube.com/shorts/rqoTY9qQ3Hc?is=dg5VQz2TlWpOUtCK
Bufa,Umesahau kumtaja Sykes na kumlaumu Nyerere, mkuu 😁
Duh,
Na wewe ukaamini kuwa kikundi cha dini moja chenye wafuasi wachache tu ukilinganisha na wale wa dini zingine zote + wapagani, kingeweza kupigana na kukomboa nchi chenyewe?
Ukitaka kuwa mchambuzi wa kuaminika jitahidi kuwa neutral. Kamisaa wa timu mojawapo kwenye mchezo hawezi kuwa Refa.
Ukiacha Wairan wa Tandale kwa Tumbo, Msikilize mu-iran halisi hapa anavyosema kuhusu serikali yao..
View: https://youtube.com/shorts/rqoTY9qQ3Hc?is=dg5VQz2TlWpOUtCK
Duh,
Na wewe ukaamini kuwa kikundi cha dini moja chenye wafuasi wachache tu ukilinganisha na wale wa dini zingine zote + wapagani, kingeweza kupigana na kukomboa nchi chenyewe?
Ukitaka kuwa mchambuzi wa kuaminika jitahidi kuwa neutral. Kamisaa wa timu mojawapo kwenye mchezo hawezi kuwa Refa.
Ukiacha Wairan wa Tandale kwa Tumbo, Msikilize mu-iran halisi hapa anavyosema kuhusu serikali yao..
View: https://youtube.com/shorts/rqoTY9qQ3Hc?is=dg5VQz2TlWpOUtCK