Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

Nimekisoma hiki kitabu hadi ushiriki wa baadhi ya mataifa ya kiarabu nadhani ni Algeria. Ushiriki wa akina Nyerere haujabanishwa moja kwa moja ila kuna hoja zinaibuliwa, na hata hivyo kitabu hicho ni maoni ya mhusika. Swali ni kuwa, pamoja na hayo yote Karume alikuwa kinara wa hayo mapinduzi?
Permanides,
Kitabu cha Dr. Ghassany si maoni ni kazi ya kitafiti.

Karume ndiye kinara wa mapinduzi ndiyo maana akachaguliwa kuiongoza Zanzibar kupitia Baraza la Mapinduzi.
 
BigBro,
Natoa jibu kwako pamoja na wachangiaji wengine hapa ambao inaelekea wanataabishwa na Uislamu.

Hili ni tatizo kubwa na tunalo nchini kwa miaka mingi kuanzia pale Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961.

Nitaweka mfano hapa.
Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika inaanza mwaka wa 1929 ilipoundwa African Association.

Waasisi wa chama hiki ni Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.

Hapa kuna Waislam sita na Wakristo watatu.

Sitaki kuongeza mengi katika historia hii.

Walipokuja kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kama mlivyokuwa nyinyi wao halikadhalika walitaabishwa na majina haya ya waasisi wa harakati za uhuru kuwa yametawala majina ya Waislamu.

Majina haya yakafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hayapo popote katika vitabu vya historia yetu.

Sishangai kuona nashambuliwa kwa kuutaja Uislamu hapa.
Hii vita wala si ya udini, dini inaingizwa kupumbaza wajinga wasio jitambua. Kinachofanyika Iran, wamefanya Venezuela (Maduro akatekwa), waliwahi kufanya Chile (unamkumbuka marehemu Salvador Allende), Panama (Noriega), Cuba ipo kwenye sekeseke, walifanya zile wanaita banana wars. kimsingi wanayoita global south yote ni kama imewekwa mateka na wahuni wa kimagharibi.

Kila nchi wakienda kufanya ukoloni wao mamboleo, wanakuja na sababu za ku-justify. Kwa Iran ni nuclear ☢️ bomb 💣. Venezuela ilikuwa sijui Maduro dikteta, Noriega tuliambiwa ni drug dealer, Allende ni communist, banana wars ilikuwa kulinda maslahi ya makampuni kama United Fruit Company na mambo kama hayo…

Iran imetokea tu kuwa ni nchi ya kiislamu, Shia islam, kwa ufasaha zaidi. Washirika wengi wa Marekani na Israel katika vita hii ni waislamu kama Iran, tofauti wao ni majority Sunni na Iran ni Shia. Mpaka hapo argument yako ya kuwa Iran inafanyiwa hila kwasababu ya uislamu ni mufilisi, haina mashiko.

Fikiria, hivi Syria enzi ya Assad (a alawite) ilifanyiwa visa na vita kwasababu ya uislamu wao? Kama kweli mbona baada ya Assad kuondolewa, akaingia muislamu mwingine (a sunni), tena mpaka anaingia madarakani alikuwa na bounty on his head ya $10 millons, iliyowekwa na serikali ya Marekani. Walituambia Jolani ni head chopper, HTS, ISiS, sijui qaeda. Wakamvua kanzu, akapewa suti, ile $10 million ikaondolewa, siyo wanted tena, akawa Ahmad Sharaa badala ya Jolan na akalikwa Washington, DC kama Rais wa Syria! Mengine ni historia….

Bado unataka kuamini kuwa, vita ya Iran ni kwasababu ya dini????
 
YNIM,
Nimeeleza fikra zangu nawe umetoa zako.
 
"Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo."

Kumbe hii ni vita ya kidini? Wamatumbi bhna🚮🚮🚮
Huyu Mzee hajui kuwa sunni wote ni vibaraka wa USA na Israel,

Hao Iran ni shia ambao wanawaita ni makafiri
 
Hadi wazee mnakuwa mashabiki namna hii? Ni hatari sana mtu akiwa mlevi wa dini
Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆
2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁
3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣
 
Mzee wangu Mohamed Said kweli inawezekana kachemka kama wengi tunavyomuona lakini swali ni je, tunaona comments za wengi wetu tunaoshabikia USA na Israel humu jukwaani zinaegemea wapi?
 
Upo sawa kabisa tatizo ni hapa unapounganisha hii vita na dini yako wakati hivi ni vita vya kiuchumi.

Sababu ya hii vita ni marekani na Israel wanapambania ugali wao huku Iran ikipambania uhuru wake
 
Sasa kama ni vita ya USA/Israel dhidi ya Uislamu, iweje mataifa ya kiarabu yasipigane upande wa Iran ambaye ni ndugu yao katika imani?
Hapo sasa ,ndio utajua udini ni mbaya sana

Waarabu wote hasa sunni wahabi wanajua kabisa Iran anawashambulia na anataka kuwapoteza pia masunni,

Na statement hizo zipo
 
Huyu Mzee hajui kuwa sunni wote ni vibaraka wa USA na Israel,

Hao Iran ni shia ambao wanawaita ni makafiri
Hamis77,
Nafahamu mengi katika Uislamu na nimefika hadi Iran.

Halikadhalika nimefika nchi nyingi za Kiarabu na nimefika Marekani pia.

Katika mizunguko hii nimejifunza mengi.
 
Mlishasema mnataka kuifuta Israel kwenye uso wa hii dunia na nuclear mnayoitaka inaonekana ndio solution yenu, sasa sijui kama mtu yeyote mwenye akili atakaa kusubiri kuchinjwa kama mlivyofanya kabla ya gaza kugeuzwa mchanga, sio kibri ni kujilinda kutoka kwa magaidi
Umeua
 
Watu8,
Hizo nchi za Kiarabu vipi zitapigana upande wa Iran dhidi ya Marekani ilhali wana vituo vya kijeshi vya Marekani ndani ya nchi zao?

Kwa mantiki hiyo mzee wangu hii ni vita isiyo na masalahi ya kiimani bali maslahi mengine tu...

Kwa sababu hata tukisema tugusie imani, Israel wao si mashahidi wa Ukristo bali imani zao za Kiyahudi na USA naye ndio kwenye imani alishachanganyikiwa hana hata imani imfaayo...
 
Tatizo ni kushabikia vita kidini wakati waislam ambao mji mtakatifu upo kwao hawana mausiano mazuri na Iran inasikitisha kuona waliombali na Iran wanamfahamu kuliko jiran zake walio mzunguka. Dini ikitubika vibaya ni hatari sana.
 
YNIM,
Nimeeleza fikra zangu nawe umetoa zako.
Ni fikra zako sawa, lakini Ni fikra chonganishi (kupandikiza udini Ndani yake). Ukiingiza udini utaua moral ya watetea haki ambao Wako neutral, wanachojua ni kupinga dhulma na uonevu dhidi ya binadamu aliye huru. Watetea haki, mahala popote duniani, hawapiganii haki dhidi ya uislam (kustawi kwa uislam) Bali haki kwa binadamu yoyote Yule dhidi ya uonevu unaofanywa na wazurumaji WA haki (ikiwemo haki ya kuabudu).

Wewe umehusisha moja kwa moja na uislam kana kwamba sasa tuanze kuamini kwamba US-ISRAEL inapigana na Waislam waliopo Iran.

Je, Ni kweli Marekani anapigana na Waislam wa Iran? Je, Ni kweli vita ni ya kidini?
 
Uchambuzi, ushabiki, na mihemko ya kidini ni hatari sana.
Wee mzee! Marekani anapigana na Irani au na uislamu/waislamu.
 
BigBro,
Natoa jibu kwako pamoja na wachangiaji wengine hapa ambao inaelekea wanataabishwa na Uislamu.

Hili ni tatizo kubwa na tunalo nchini kwa miaka mingi kuanzia pale Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961.

Nitaweka mfano hapa.
Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika inaanza mwaka wa 1929 ilipoundwa African Association.

Waasisi wa chama hiki ni Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.

Hapa kuna Waislam sita na Wakristo watatu.

Sitaki kuongeza mengi katika historia hii.

Walipokuja kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kama mlivyokuwa nyinyi wao halikadhalika walitaabishwa na majina haya ya waasisi wa harakati za uhuru kuwa yametawala majina ya Waislamu.

Majina haya yakafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hayapo popote katika vitabu vya historia yetu.

Sishangai kuona nashambuliwa kwa kuutaja Uislamu hapa.
Chama kuhasisiwa na waislamu wengi siyo ajabu, je walihasisi kwa msukumo wa dini au kwa msukumo wa uzalendo wa nchi.
Historia gani? Pamoja na vitabu vyote ulivyoviandika na kuwataja wazee wako kuwa ndiyo wapigania uhuru wa Tanganyika bado unaona historia haijawekwa sawa.

Hivi kila makundi ya kidini yakiingiza agenda za kidini kwenye mambo kitaifa, itakuwaje?

Wabudha.
Washinto
Waislamu
Wakristo
Waasilia, aka waabudu mizimu
Wayahudi, na wengine wengi, wote hawa watangulize maslai ya dini zao, tutakuwa na taifa kweli?
 
Ukiona mtu anakimbilia kuibanza hoja yake kwenye udini wakati tatizo lenyewe halina uhusiano na dini, utambue kuwa huyo mtu ana kwenye nafsi yake, labda yeye ndiye mdini.

Vita vinavyoendelea Mashariki ya kati, havina uhusiano na ugomvi wa kidini. Anayesema ni vita vya kidini, aeleze ni kati ya dini gani na dini gani? Iran taifa la kiislam linayashambulia mataifa ya Kiislam. Israel lisilo taifa la kidini lakini lenye wayahudi wenhi linashambulia Iran taifa la kiislam, inashambulia Lebanon taifa pekee Mashariki ya kati lenye wakristo wengi na Rais wake ni mkristo. Urusi Taifa lenye wakristo wengi linaiunga mkono Iran taifa la kiislam. Marekani taifa lisilo la kidini lakini lenye wakristo wengi inaungwa mkono na mataifa ya kiarabu yenye waislam wengi, na pia inaungwa mkono na wairan wote wakimbizi waishio mataifa ya Ulaya, America, Australia na mataifa ya ghuba. Halafu anakuja mtu mmoja anasema ni vita vya kidini! Yaelekea kuna watu wanatamani viwe ni vita vya kidini, na sijui kama vingekuwa vita vya kidini kama wanavyotaka viwe, wangefaidikaje!!
Kosa ni kuamini uzee ni busara
 
Back
Top Bottom