Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL

Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.

Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.

Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.

Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.

Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.

Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.

Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.

Hormuz bado.

Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.

Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.

Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.

Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.

Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.

Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.

In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
Mimi ningekua trump ninge angamiza mpaka sisimizi na kunguni woteeeeeee hapo Iran.

Ningefanya fundisho..haribu Kila kitu hapo iran
 
Duh,
Na wewe ukaamini kuwa kikundi cha dini moja chenye wafuasi wachache tu ukilinganisha na wale wa dini zingine zote + wapagani, kingeweza kupigana na kukomboa nchi chenyewe?

Ukitaka kuwa mchambuzi wa kuaminika jitahidi kuwa neutral. Kamisaa wa timu mojawapo kwenye mchezo hawezi kuwa Refa.

Ukiacha Wairan wa Tandale kwa Tumbo, Msikilize mu-iran halisi hapa anavyosema kuhusu serikali yao..

View: https://youtube.com/shorts/rqoTY9qQ3Hc?is=dg5VQz2TlWpOUtCK

Anti
Hadi wazee mnakuwa mashabiki namna hii? Ni hatari sana mtu akiwa mlevi wa dini
Bezo,
Soma niandikayo kisha jiulize iweje historia hiyo imefutwa?

Nani kaifuta na kwa sababu gani?
Je aliyefuta ni "mlevi wa dini?"
 
Iran haipigi Waislam katika nchi za Kiislam bali inapiga vituo vya kijeshi vya Marekani ndani ya nchi za Kiarabu.
Ni kweli, Iran imepiga kambi za Marekani na vituo vya kijasusi vya Marekani na Israe siyo eneo jinginel. Ni kweli!
Kwa upande mwingine, ardhi inayotumiwa na Marekani na Israel ni ya Waislam na wameruhusu hilo kutokea

Kwa maneno mengine nchi za Kiarabu(Waislam) zinatoa usadizi kwa Mahasimu wa Iran.

Usiishie kusema Marekani na Israel zina KIBRI, endelea kusema Saud Arabia, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatari, Iraq, Jordan ni WANAFIKI wakubwa.
 
Historia itakuja kumhukumu Muhammad kwa kuwa jaza upumbavu km huyu Mzee, yaani udini umekaa anaona waumini wa dini zingine kama hawajitambui.
 
Camerlengo,
Heshima ya Uislamu imebebwa na Iran pale iliposimama kidete na kuikabili Marekani na Israel katika uwanja wa vita.
Lakini mzee Mohamed kwa nini Irani inasema Israel na Marekani hawapaswi kuwepo duniani?
 
Camerlengo,
Heshima ya Uislamu imebebwa na Iran pale iliposimama kidete na kuikabili Marekani na Israel katika uwanja wa vita.
Najaribu kuwaza kwa level ya ujinga wangu!
Hivi kwa Nini Iran na mataifa mengine hayapigi kelele kwa kile kinachoendelea mauaji ya waislamu wa Sudan na kwingineko Afrika?
 
Lakini mzee Mohamed kwa nini Irani inasema Israel na Marekani hawapaswi kuwepo duniani?
Bezo,
Hata mimi sijui.

Labda ni historia ya Marekani ya kuanzisha vita, Laos, Cambodia, Vietnam nk. wakijua watu wasio na hatia pasi na sababu.

Mimi nimepata kuwaeleza haya Marekani uso kwa macho wakati natoa mada ya Ugaidi Chuo Kikuu Cha Ibadan, Nigeria.

Makubwa yalinifika.

Ikiwa utapenda kufahamu nifahamishe nikuwekee video.
 
Niwekee video nijifunze mzee Said.
 
KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL

Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.

Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.

Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.

Halikadhalika hawajatambua kuwa Wairani ndiyo washindi.

Israel ipo katika hali ngumu kwani wao hawamo katika mchezo.

Mazungumzo ni kati ya wakubwa wawili na wao hawana hata moja katika hayo mazungumzo.

Ujumbe unarejea Washington kichwa chini hakuna cha kuonyesha na hali ni mbaya na inaendelea kudidimia kila kukicha.

Hormuz bado.

Iran imejitolea nafsi yake hadi ushindi wake na heshima yake isimame.

Uislamu upate heshima yake na ulimwengu ujue kuwa Marekani hana nguvu hizo dunia ilidhani wanazo.

Marekani ni nyati aliyeingia ndani ya duka la vyombo vya udongo.

Sasa anavunja sahani na vikombe ovyo.

Ile "long haul strategy" dhidi ya Israel bado ipo.

Iran inajua fika na Marekani inajua pia kuwa vita virefu Israel haiviwezi.

In Shaa Allah tusubiri tuone Capitol Hill itakuja na lipi jipya?
Supendi mambo ya kushabikia vita. Uhalifu wa Israel kila mtu anaujua. Ubora wa Iran pia unajulikana na sidhani kama umetokana na uislam.
Mbaya zaidi kuhusisha vita na dini it's bad. Maana kama ni dini Iran kapiga mpaka nchi ya mtume.
Hubiri amani
 
James,
Iran imepiga vituo vya kijeshi vya Marekani ndani ya nchi za Kiarabu.
 
Camerlengo,
Heshima ya Uislamu imebebwa na Iran pale iliposimama kidete na kuikabili Marekani na Israel katika uwanja wa vita.
Lakini mawahabi si wanasema Shia ni makafiri na uislamu wa shia sio na haufai

Inakuwaje Leo shia ndio wanaonekana waislamu halisia na sio Alhu Sunna waljamaa?

Au kwako shia sio makafiri?
 
Inasikitisha sana kuna mpaka wazee tulio kuwa tunawaheshimu,ni mashabiki lia lia namna hii
Huyu ni muislam sio shabiki hapa tunamjua Mzee huyu yeye anazungumzia zaidi uislam sio kushabikia Iran tu km Iran isingekua ya Waislam usingeona uliona akimzungumzia Madulo? Hakuna
 
Ni hatari
Mzee ni mpambanaji kwa mtazamo wake:
Yeye anajikita kuitetea Dini yake tu:
Ni Uislamu na Waislamu:
 
Back
Top Bottom