Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,442
- 33,999
- Thread starter
- #141
Nakta,Ni heshima kubwa kujibiwa na wewe Mzee kwa umri wangu huu mdogo sanaaa.
Ila nashangazwa sana inawezekanaje ukawa na umri mkubwa kama wako mzee wangu na bado ukawa na fikra ambazo mimi binafsi naziona ni za mtu mjinga kama ambaye hajasoma n.k (samahani hili neno kwetu wakristo si tusi)
Ila wewe mzee wangu una elimu kubwa sana WHY?
Sishangai wewe kuniita mimi mtu mjinga kwani kipimo chako ndicho kilichokuelekeza huko.
Lakini nakusihi utumie kipimo hicho chako kuwapima wasomi hawa: John Iliffe (Cambridge University), Jonathan Glassman (Northwestern University)na James Brennan (University of Champagne) na Kai Kresse (Zentrum Moderner Orient)ambao mimi nimepata kujadilinao historia ya Tanzania ndani ya journals za kisomi na pia kwenye vyuo vyao kwa kualikwa.