Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

BigBro,
Natoa jibu kwako pamoja na wachangiaji wengine hapa ambao inaelekea wanataabishwa na Uislamu.

Hili ni tatizo kubwa na tunalo nchini kwa miaka mingi kuanzia pale Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961.

Nitaweka mfano hapa.
Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika inaanza mwaka wa 1929 ilipoundwa African Association.

Waasisi wa chama hiki ni Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.

Hapa kuna Waislam sita na Wakristo watatu.

Sitaki kuongeza mengi katika historia hii.

Walipokuja kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kama mlivyokuwa nyinyi wao halikadhalika walitaabishwa na majina haya ya waasisi wa harakati za uhuru kuwa yametawala majina ya Waislamu.

Majina haya yakafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hayapo popote katika vitabu vya historia yetu.

Sishangai kuona nashambuliwa kwa kuutaja Uislamu hapa.
Hizo ni siasa tu wala sio masuala ya kidini. Hebu tuambie ni lini tulimuenzi Okello,kama shujaa wa Mapinduzi ya Zanzibar? Mapinduzi yakifanyika si Karume alikuwa kapumzika Dar ila ndio kawa shujaa wa Mapinduzi?! Hii nayo tuite udini?!
 
Hakuna anayetaabika na Uislamu. Watu wanataabika na Ugaidi. My brother was killed na magaidi waislamu nami nikaona shida kubwa sana kwa hii Dini ni Ugaidi na imani za kichawi , kishetani za kuua wengine.
Chizi Maarifa,
Pole kwa kumpoteza ndugu yako.

Sina haja ya hapa kujadili kuhusu Uislamu na Ugaidi kwani tutazidisha ubishi usio na maana.

Ushauri wangu kwako ni jaribu kuusoma Uislamu huenda ukashangaa kuona uko mbali mno na Ugaidi unaotangazwa na maadui wa Uislamu.

Ninayo mada niliwasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka wa 2006 naeleza suala hili ikiwa utaisoma huenda ikakuonyesha upande wa pili wa shilingi:

Mohamed Said: ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
 
BigBro,
Natoa jibu kwako pamoja na wachangiaji wengine hapa ambao inaelekea wanataabishwa na Uislamu.

Hili ni tatizo kubwa na tunalo nchini kwa miaka mingi kuanzia pale Tanganyika ilipopata uhuru mwaka wa 1961.

Nitaweka mfano hapa.
Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika inaanza mwaka wa 1929 ilipoundwa African Association.

Waasisi wa chama hiki ni Kleist Sykes, Ibrahim Hamisi, Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Cecil Matola, Rawson Watts na Raikes Kusi.

Hapa kuna Waislam sita na Wakristo watatu.

Sitaki kuongeza mengi katika historia hii.

Walipokuja kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kama mlivyokuwa nyinyi wao halikadhalika walitaabishwa na majina haya ya waasisi wa harakati za uhuru kuwa yametawala majina ya Waislamu.

Majina haya yakafutwa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hayapo popote katika vitabu vya historia yetu.

Sishangai kuona nashambuliwa kwa kuutaja Uislamu hapa.
Mzee Mohamed Said, wewe ni mbobevu kwenye haya masuala ya Historia! Inakuwaje unashindwa kuyafahamu mambo mepesi!
Vita kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran imechangiwa zaidi na viongozi wao wawili wenye akili, hulka na mtazamo unaofanana (Donald Trump na Benjamin Netanyahu) wa ubabe na pia wa kujiona ni wazalendo sana kwa nchi zao! Watu hawa hawana mafungamano yoyote yale na Ukristu! Kiufupi unaweza kuwaita ni wapagani tu!

Na mashambulizi yao dhidi ya Iran siyo kwa sababu wanapambana dhidi ya Uislam! Isipokuwa wanataka kumshusha Iran chini ili wao waendelee kubakia kuwa juu! Na hii ni baada ya Iran kuanza mkakati wake wa kutaka kumiliki silaha za nyuklia! Na inafahamika wazi nchi yoyote ile duniani ikifikia hii hatua, haiwezi kusumbuliwa na nchi nyingine!

Na kama Marekani na Israel wangekuwa wanapigana na Iran kwa sababu ya dini, basi Marekani hiyo hiyo isingekuwa na urafiki na nchi nyingine za Kiislam mfano Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait, UAE, Pakistan, nk.
 
Ukiona mtu anakimbilia kuibanza hoja yake kwenye udini wakati tatizo lenyewe halina uhusiano na dini, utambue kuwa huyo mtu ana kwenye nafsi yake, labda yeye ndiye mdini.

Vita vinavyoendelea Mashariki ya kati, havina uhusiano na ugomvi wa kidini. Anayesema ni vita vya kidini, aeleze ni kati ya dini gani na dini gani? Iran taifa la kiislam linayashambulia mataifa ya Kiislam. Israel lisilo taifa la kidini lakini lenye wayahudi wenhi linashambulia Iran taifa la kiislam, inashambulia Lebanon taifa pekee Mashariki ya kati lenye wakristo wengi na Rais wake ni mkristo. Urusi Taifa lenye wakristo wengi linaiunga mkono Iran taifa la kiislam. Marekani taifa lisilo la kidini lakini lenye wakristo wengi inaungwa mkono na mataifa ya kiarabu yenye waislam wengi, na pia inaungwa mkono na wairan wote wakimbizi waishio mataifa ya Ulaya, America, Australia na mataifa ya ghuba. Halafu anakuja mtu mmoja anasema ni vita vya kidini! Yaelekea kuna watu wanatamani viwe ni vita vya kidini, na sijui kama vingekuwa vita vya kidini kama wanavyotaka viwe, wangefaidikaje!!
 
Unahisi hawa wanataabishwa na suala lolote la Dini yoyote? Mzee ukichunguza kwasasa watu wamebadilika, nafikiri hata yangekuwa yote ya Kiislam au yote ya Kikristo hakuna ambaye angejali hilo, labda Wazee wa miaka ile. Vijana wa sasa suala la Dini wala hawazingatii

Pia, sidhani kama vita vya Marekani/Israel vs Iran ni vya kidini na sio vya kimaslahi na Utawala wa Middle East.
 
M

Mzee kachemka vibya sana
 
Chizi Maarifa,
Pole kwa kumpoteza ndugu yako.

Sina haja ya hapa kujadili kuhusu Uislamu na Ugaidi kwani tutazidisha ubishi usio na maana.

Ushauri wangu kwako ni jaribu kuusoma Uislamu huenda ukashangaa kuona uko mbali mno na Ugaidi unaotangazwa na maadui wa Uislamu.

Ninayo mada niliwasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka wa 2006 naeleza suala hili ikiwa utaisoma huenda ikakuonyesha upande wa pili wa shilingi:

Mohamed Said: ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
Uislamu umejengwa kwenye ugaidi. Ile ahadi ya bikra 72 inatumika na wa desperate kuua wengine. Bora tu stick kwenye kuua wakristo tu. Sasa tunauana hata wenyewe kwa wenyewe.
 
Hizo ni siasa tu wala sio masuala ya kidini. Hebu tuambie ni lini tulimuenzi Okello,kama shujaa wa Mapinduzi ya Zanzibar? Mapinduzi yakifanyika si Karume alikuwa kapumzika Dar ila ndio kawa shujaa wa Mapinduzi?! Hii nayo tuite udini?!
Permanides,
Umeaminishwa kuwa Okello ni shujaa wa mapinduzi ya Zanzibar na umeamini.

Ukweli ni tofauti.

Hujaelezwa mchango wa Mwalimu Nyerere, Oscar Kambona na Kassim Hanga.

Hujaelezwa mchango wa Wamakonde wafanyakazi shamba la mkonge la Sakura kutoka Kipumbwi waliovushwa kwenda Zanzibar kushiriki katika mapinduzi.

Kiongozi wa hawa Wamakonde alikuwa Victor Mkello.

Majina haya hujayasikia katika historia ya mapinduzi ya Zanzibar.

Kaa chini kitako tuliza ubongo wako na uisome historia ya Zanzibar na mapinduzi katika kitabu cha Dr. Harith Ghassany: "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).

Kitabu hiki unakisoma bure mtandaoni.

Mohamed Said: DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU" DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU"
 
Uislamu umejengwa kwenye ugaidi. Ile ahadi ya bikra 72 inatumika na wa desperate kuua wengine. Bora tu stick kwenye kuua wakristo tu. Sasa tunauana hata wenyewe kwa wenyewe.
Chizi...
Ungepinda mgongo ukasoma hiyo paper ingekuwa bora kwako kwani ungeongeza maarifa.

Bahati mbaya una haraka ya kujibizana.
 
Kubwig,
Bahati mbaya sana unaejaribu kujadili jambo ambalo huna ujuzinalo.
Mimi ni Muislam, na Dini naifahamu kabisaa, hivi vita ni vya kimaslahi ambapo Marekani anaionea wivu wa kimaendeleo IRAN hasa maendeleo ya ya kisayansi na teknolojia. Pia Marekani na Irael wataka kutawala Middle East na wanaogopa Domination ya Iran

Ndio hawapendezwi na Dola Imara ya Kiislam wa kishia iliyopo Iran ila sio sababu ya vita Sheikh
 
Uislamu umejengwa kwenye ugaidi. Ile ahadi ya bikra 72 inatumika na wa desperate kuua wengine. Bora tu stick kwenye kuua wakristo tu. Sasa tunauana hata wenyewe kwa wenyewe.
Chizi...
Ungepinda mgongo ukasoma hiyo paper ingekuwa bora kwako kwani ungeongeza maarifa.

Bahati mbaya una haraka ya kujibi
Sasa kama ni vita ya USA/Israel dhidi ya Uislamu, iweje mataifa ya kiarabu yasipigane upande wa Iran ambaye ni ndugu yao katika imani?
Watu8,
Hizo nchi za Kiarabu vipi zitapigana upande wa Iran dhidi ya Marekani ilhali wana vituo vya kijeshi vya Marekani ndani ya nchi zao?
 
Mimi ni Muislam, na Dini naifahamu kabisaa, hivi vita ni vya kimaslahi ambapo Marekani anaionea wivu wa kimaendeleo IRAN hasa maendeleo ya ya kisayansi na teknolojia. Pia Marekani na Irael wataka kutawala Middle East na wanaogopa Domination ya Iran

Ndio hawapendezwi na Dola Imara ya Kiislam wa kishia iliyopo Iran ila sio sababu ya vita Sheikh
Kubwig,
Mimi si sheikh.
Sina elimu hiyo.

Naliweka hili wazi ili unifahamu.
 
Ukiona mtu anakimbilia kuibanza hoja yake kwenye udini wakati tatizo lenyewe halina uhusiano na dini, utambue kuwa huyo mtu ana kwenye nafsi yake, labda yeye ndiye mdini.

Vita vinavyoendelea Mashariki ya kati, havina uhusiano na ugomvi wa kidini. Anayesema ni vita vya kidini, aeleze ni kati ya dini gani na dini gani? Iran taifa la kiislam linayashambulia mataifa ya Kiislam. Israel lisilo taifa la kidini lakini lenye wayahudi wenhi linashambulia Iran taifa la kiislam, inashambulia Lebanon taifa pekee Mashariki ya kati lenye wakristo wengi na Rais wake ni mkristo. Urusi Taifa lenye wakristo wengi linaiunga mkono Iran taifa la kiislam. Marekani taifa lisilo la kidini lakini lenye wakristo wengi inaungwa mkono na mataifa ya kiarabu yenye waislam wengi, na pia inaungwa mkono na wairan wote wakimbizi waishio mataifa ya Ulaya, America, Australia na mataifa ya ghuba. Halafu anakuja mtu mmoja anasema ni vita vya kidini! Yaelekea kuna watu wanatamani viwe ni vita vya kidini, na sijui kama vingekuwa vita vya kidini kama wanavyotaka viwe, wangefaidikaje!!
Hamatan,
Soma historia ya Israel.

Uyahudi ni utaifa na dini kwa wakati mmoja.

Iran haipigi Waislam katika nchi za Kiislam bali inapiga vituo vya kijeshi vya Marekani ndani ya nchi za Kiarabu.
 
Permanides,
Umeaminishwa kuwa Okello ni shujaa wa mapinduzi ya Zanzibar na umeamini.

Ukweli ni tofauti.

Hujaelezwa mchango wa Mwalimu Nyerere, Oscar Kambona na Kassim Hanga.

Hujaelezwa mchango wa Wamakonde wafanyakazi shamba la mkonge la Sakura kutoka Kipumbwi waliovushwa kwenda Zanzibar kushiriki katika mapinduzi.

Kiongozi wa hawa Wamakonde alikuwa Victor Mkello.

Majina haya hujayasikia katika historia ya mapinduzi ya Zanzibar.

Kaa chini kitako tuliza ubongo wako na uisome historia ya Zanzibar na mapinduzi katika kitabu cha Dr. Harith Ghassany: "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).

Kitabu hiki unakisoma bure mtandaoni.

Mohamed Said: DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU" DR. HARITH GHASSANY AELEZA USAHIHI WA UTAFITI WA KITABU CHAKE: "KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU"
Nimekisoma hiki kitabu hadi ushiriki wa baadhi ya mataifa ya kiarabu nadhani ni Algeria. Ushiriki wa akina Nyerere haujabanishwa moja kwa moja ila kuna hoja zinaibuliwa, na hata hivyo kitabu hicho ni maoni ya mhusika. Swali ni kuwa, pamoja na hayo yote Karume alikuwa kinara wa hayo mapinduzi?
 
Back
Top Bottom