Kibongo bongo madirisha ni lazima yawe na grills

Unaimarisha fensi na mbwa na security alarm plus camera......
mambo ya kuweka grill yamepitwa na wakati...
lakini pia majengo kama haya hayapatikani uswazi......
is a matter of neighborhood
Mwizi atakuwa mdada wa kazi
 
Hiyo nyumba hata ukila mbususu huku unaangalia nje stimu zinapanda kwa kasi ya 6G.
Sio unakula mbususu gizani hata hisia ni za kutafuta kama unapiga nyetoo!!
 
Sababu ya wezi
Unajua wazungu wametuzidi kwenye kila kitu hata kama vya kijinga nasema hivyo kwa sababu inashangaza mwizi anaingia kwako anaiba hadi Sufuria la Ubwabwa.We wazungu waache waonekane ndo race ya akili kubwa.Dodoma walikuja wawekezaji wa nyumba za mbao ambazo unajenga kwa bei poa na ni nzuri kichizi ila kutokana na wizi wa kijinga walikosa market kwa sababu wezi wakija wanakuiba hadi wewe ukiwa umelala ukijenga nyumba ya mbao.
 
Wanaojenga madirisha ya hivyo no wale wanaojenga nyumba kwenye kiwanja kikubwa kiasi majirani kawatupa mbali kabisa anaweza akatoka at a nje akiwa huchi anajua hakuna anaemuona zaidi ya ndege tu.
Sasa wewe mwantumu na kiwanja chako cha 20 kwa 20 tuwekee huo mdirisha tukupige chabo.

images (3).jpeg


images (2).jpeg


images (1).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom